Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Huwa nasikitika sana tu yuvisisiemu namna tunatumika masikini na wanasiasa. Hawa wanasiasa wanawatumia tu ili wao wafanikishe mambo yao. Mwisho wa siku nyie mnabaki masikini wa kutupwa.
Enyi vijana. Acheni uchawa. Pambania maisha Yako,pambania Tanzania. Nawaambieni nchi yetu inaongozwa na matapeli mno.
Kwanini hamuoni na kusema ukweli? Hivi kweli ukiwa na akili timamu unaweza kumpigia kura Samia? Kwa lipi na kwa uwezo upi?
Wajanja wanamuita mama ili kumjenga kisaikolojia na kumfikia kilarahisi na Kisha wamemgeuza uchochoro. Vijana acheni uchawa na ujinga.
Hawa wanasiasa wanapita na watawaachia umasikini na nchi nzima yenye changamoto. Sisi Hawa wa miaka 64 ya uhuru na rasilimali hizi hatukupaswa kuwa hapa. Msidanganywe na vitu vidogo kama hivi kuuza akili zenu.
Kweli Leo serikali inajenga daraja la billion 700 lakini katika uzinduzi wake tu mnatumia 1.5 billion? Je itakuwa ni akili au matope?
Sisi tunageuza kila mradi kampeni tu. Tukinunua ndege Moja kampeni, tukijenga au kukarabati uwanja wa mpira kampeni, tukitoa pesa ya motisha kampeni, hivi nani katuroga??? Masikini unapewa baiskeli ya lakini 2 kampeni.
Vijana wenzagu unaweza kufanikiwa bila kuwa chawa na kutumikishwa na wanasiasa. Amua Leo na si kesho. Nchi inaibiwa hii.