Acha ujinga kujifanya unalinda BRAND(JINA)

Ukiona mambo hayakuhusu si unapita hivi? mimi tabia yangu kama mambo hayanihusu huwa napita kimya kimya.

Ukiona hayakuhusu unapotezea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe na nani? make umesema sisi,

Wewe na nani manao kataa? Sema mimi nakataa, au unatafuta wafuasi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona unakereka na Thread za watu unanzisha zako. Mimi ndo huwa nafanya hivyo.

Ukiona tu thread ni ya kupuuzi anzisha yako ya kijanja watu wachangie.

Make mnaponda ila kuanzisha au kuotoa hoja hakuna.

Toa suluhisho na ikibidi anzisha thread ya kuonyesha kupingana kama wanavyo fanya jujwaa la Siasa.

Au uwezo ndo shida? Make kuanzisha sio thread sio ishi ishu ni upate wachangiaji.

Nina thread ziki Strict tena Mbili. Waulize Ma Adimin wakupe vigezo vya Thread kuwa hivyo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu wamejaa watoto CHASHA wengine tusha kaa kimya kitambo sana nakushauri achana na watoto humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto hao achana nao. Wakikuwa wataelewa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani jibu hili limedhihirisha ni kias gani ulivo mtupu kichwani..

Yaani ww kumbe unaanzisha hoja za kipuuzi ili watu wakitokea wengi kupinga upuuzi wako ndio unaona na ww ni mjanjaa..very nonsense

Kwangu mm thread ambazo zina wachangiaji wachache ni tjread zenye ukweli mtupu, maana ake mtu katumia muda kufikir nenda kwenye international forum au great thinkers wachangiaji ni wachache sabab kitu kiko real..sasa ww unapost upupu ukijaza kurasa 10 unajiona unaakili..watu wanajaa kukupinga undezi wako
Angalia wanaokusapoti ni wangapi na wanaokupinga nj wengi
Kumbe ww ni mtupu kichwan kias hiki ndiosaabab unafiga karaga na kunywa uji akili haifikir
 
Sasa vi thread unavoanzisha ww havina kichwa wala miguu havina detail za msingi wala maelezo ya ushawai ata mtoto wng wa darasa la nne anaanzisha mfano leo nimekitana na muuza vitumbua mchana..nonsense kabisa kajilamge
 
Sasa vi thread unavoanzisha ww havina kichwa wala miguu havina detail za msingi wala maelezo ya ushawai ata mtoto wng wa darasa la nne anaanzisha mfano leo nimekitana na muuza vitumbua mchana..nonsense kabisa kajilamge
Nazani unachuki binafisi na jamaa na wivu wa kike na tabia za kike na nimekushauri anzisha maada kupingana na hii kama wewe mwanaume.

Tabia za kike hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninakupa onyo usinitukane tena dogo..endelea sasa pimbi ww
Ndo ulicho kariri neno Pimbi? Nyie sijui wewe sijui ubwabwa mntafuta wanaume hadi humu?

Pimbi ni wewe unaye Dandia thread za wanaume wenzako.Anzisha zako kama wewe mwanaume.

Mnashibda humu kudandia post za wanaume? anzisha zako tukuone ulivyo mweupe kichwani.

Mnaficha madhaufu kwenye kudandia za wenzenu na kujifanya unajua kumbe kamasi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu unachotafuta kwangu..kama hukupewa malezii na wazazi wako ya kuheshimu watu..endelea sasa
 
Ndo changamoto za humu some time nikujifanya fala ili mambo yaande mkuu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
kula like yangu mkuu
 
Mimi nilianza na gari japo moyoni nikawa naogopa kurukia hatua kubwa kabla ya ndogo chaajabu hata sikuitumia gari yangu hata miezi miwili akaibuka mtu akanipa gari kisa aliniona tayari ninauwezo wakumiliki gari basi nikajikuta ghafla nina magari mawili hapo ikabidi lile gari langu nilikodishe nibaki na la shemela likaanza kuniingizia hela hadi nikaona biashara ndio hii, nikawa nakodisha na lilenilopewa hadi mwenyewe alivyostukia nikokibiashara zaidi kuliko kiluxury akaliuza, kununua kwangu gari ilikua ni zari yaani. Kila mtu na mipango yake na mtazamo wake ila uoga wa maisha hautakiwi kwahiyo uogope kununua simu eti kisa maisha bado wakati simu inakuingizia hela kiruuuuuu
 
Bandiko zuri. However, kwa mtazamo wangu... kila mtu ana priorities zake za kimaisha as per his/her comfortability, goals and vision.
Life is something dynamic. Hakunaga 'formula' moja ya kutusua kimaisha kwamba kila mtu should begin with.
Life has a lot of options. Mostly important is to double-click our folders of thinking & consciousness when setting priorities za kimaisha.
The bottom line is... kila mtu ana vipaumbele vyake kimaisha, pursuant to comfortability, goals, and vision.

-Kaveli-
 
Ku invest kwenye elimu faida mkuu huja poteza kitu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…