Wadada wengi wamekuwa na katabia ka kujifanya watakatifu na wanyoofu kwa wachumba zao kwa kuwanyima sex ili wapendwe zaidi na waonekane wanajitunza. Kama mdada bado ni bikra kumbania mchumba ni halali yake, lkn vinginevyo kuna uharamu mkubwa!
Wakati mchumba akinyimwa kuna mhuni anammega huyo mdada siku, muda na wakati wowote aupendao mpk siku moja kabla ya harusi.
Na mchumba (mkaka) naye kwa kuwa hawezi kuvumilia kiu anakuwa na mdada ambaye anamtemea nyongo kila uchwao.
Hivyo inakuwa ni kana kwamba malaya wawili wanafanya ukahaba kila mmoja kivyake huku wakisubiri ndoa ili kuanza tendo la ndoa kati yao.
Madhara ya ujinga huu ni:-
(a) Mchumba (mkaka) kumkimbia mdada.
(b) Mchepuko kumteka mkaka na kumfanya mke (mdada) nachokwe haraka