Umeongea vizuri.
Ila je MTU atumie njia gani kuwa mbali na uzinzi?
Maana tatizo la binadamu sio kwamba huwa hawana taarifa Ila huwa hawazielewi taarifa walizonazo.
Ebu tazama boksi la sigara limeandikwaje? Kuwa ni hatari inaua lakini people still smoking
So the issue is not about informations because information is already their on our Finger tip ,but the issue is how we understand the informations.