Chukua mbilimbi zako zikate kate vipande vidogo vidogo,
Chukua kitunguu,nyaya, (pilipili, karoti na hoho... kama utapenda)
unaviweka vyote kwenye sufuria la mafuta ya moto unakaanga kama unavyounga mchuzi vikikaangika vyoooote rost hilo epua acha lipoe..... weka kwenye kontena safi tayari kwa kuliwa.