BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Habari zenu humu wapishi
Naombeni namna ya kupika mbilimbili za pilipili.... ziwe tamu na zisioze upesi.
(Ukiacha hii ya nyanya pilipili na kuanika juani daily)
Nahitaji techniques mpya..... haswa ziweze kukaa muda mrefu
Wenye mauzoefu mtiririke plz
Mwisho::::
Hivi kuna soko la mbilimbi mbichi wapi?
Maan si kwa kuzaa huku aisee)