Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 11,191 Reaction score 35,870 Aug 21, 2025 Thread starter #21 LOTH HEMA said: Hawa matapeli enzi tuliwaona ni wapotoshaji na mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo huku wakiwararua kondoo Click to expand... 🤣🤣🤣
LOTH HEMA said: Hawa matapeli enzi tuliwaona ni wapotoshaji na mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo huku wakiwararua kondoo Click to expand... 🤣🤣🤣
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,593 Reaction score 46,759 Aug 21, 2025 #22 Kuna siku aliongea points tupu, nikasema aloo kumbe kuna manabii wanaongea ishu za maana. Kumbe hata saa mbovu kuna muda inaongea ukweli.
Kuna siku aliongea points tupu, nikasema aloo kumbe kuna manabii wanaongea ishu za maana. Kumbe hata saa mbovu kuna muda inaongea ukweli.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Aug 21, 2025 #23 Ila jamaa ana washirika wajinga Sana. Hata akiongea upumbavu wanampigia makofi. Pia sio nabii ni motivational speaker.
Ila jamaa ana washirika wajinga Sana. Hata akiongea upumbavu wanampigia makofi. Pia sio nabii ni motivational speaker.