Achan na kapola, kuna huyu mwingine pia.

Kuna siku aliongea points tupu, nikasema aloo kumbe kuna manabii wanaongea ishu za maana. Kumbe hata saa mbovu kuna muda inaongea ukweli.
 
Ila jamaa ana washirika wajinga Sana. Hata akiongea upumbavu wanampigia makofi. Pia sio nabii ni motivational speaker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…