Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Tunaweza sema Blackberry imerudi tena Kwa mwaka 2026 🫣 lakini Kwa namna nyingine unajua kwanini??
Kampuni kubwa ya kutengeneza simu zenye muundo wa batani Kwa ajili ya smartphone kama ilivyo Blackberry inaitwa Click Technology imezindua simu mpya inaitwa Communicator 👀.
🔺 Simu hii inatumia mfumo kamili wa Android 16.
📲 Ikiwa na Kioo aina ya AMOLED display ambayo ni tachiskrini.
⌨️ Simu hii Inakuja ikiwa na physical batani za kubonyeza kama ilivyo Blackberry.
Ikiwa na fingerprint sensor Kwa pembeni.
🎧 Inakuja ikiwa na sehemu ya kuchomeka mfumo wa Headphones jacks (headphones za waya).
🔋 Battery lake ni 4000mah inaweza kukaa siku mbili bila kuchaji Kabisa.
Credit to: #bongotech255
Simu hii inatumia mfumo kamili Kabisa wa Android, Kwa sasa inapatikana kwa dola $399 mpaka kufikia dola $499. Simu hii itaweza kuachiwa mwaka huu 2026✍️.