View attachment 3525051
Tunaweza sema Blackberry imerudi tena Kwa mwaka 2026 π«£ lakini Kwa namna nyingine unajua kwanini??
Kampuni kubwa ya kutengeneza simu zenye muundo wa batani Kwa ajili ya smartphone kama ilivyo Blackberry inaitwa Click Technology imezindua simu mpya inaitwa Communicator π.
View attachment 3525052
πΊ Simu hii inatumia mfumo kamili wa Android 16.
View attachment 3525054
π² Ikiwa na Kioo aina ya AMOLED display ambayo ni tachiskrini.
β¨οΈ Simu hii Inakuja ikiwa na physical batani za kubonyeza kama ilivyo Blackberry.
View attachment 3525055View attachment 3525056
π« Ikiwa na fingerprint sensor Kwa pembeni.
View attachment 3525058View attachment 3525059
π§ Inakuja ikiwa na sehemu ya kuchomeka mfumo wa Headphones jacks (headphones za waya).
π Battery lake ni 4000mah inaweza kukaa siku mbili bila kuchaji Kabisa.
Credit to: #bongotech255
Simu hii inatumia mfumo kamili Kabisa wa Android, Kwa sasa inapatikana kwa dola $399 mpaka kufikia dola $499. Simu hii itaweza kuachiwa mwaka huu 2026βοΈ.