Achana na Chanjo ya UVIKO-19, Hii ndio propaganda nzito iliyokuwa inapigwa kupinga Umeme miaka ya 1990s

Achana na Chanjo ya UVIKO-19, Hii ndio propaganda nzito iliyokuwa inapigwa kupinga Umeme miaka ya 1990s

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Propanda ya kupinga Umeme.

IMG_20211001_105433.jpg

 
Kwahiyo kipindi iko watu walikua wanapinga umeme 😂😂😂

Basi serikali ijitahidi kutoa elimu yakutosha kabla hawajaanzisha jambo.

Ila jambo liwe la uhakika na sio janjajanja.
 
Mambo kama haya yapo sawa... Ila sio kwenye chanjo picha inaanzia kwenye corona yenyewe ni mauzauza tupu.

Mbona ebora ni deadly kuliko, kwanini corona tu ipewe kipaumbele?
Ebola imedhibitiwa ndani ya eneo husika, yaani Congo na ndio maana haijasumbua dunia.

Ila kwa Corona hali ni tofauti maana wachina walificha sana taarifa kiasi kwamba ugonjwa ukasambaa dunia nzima.

Laiti kama wachina wangekuwa wazi maana yake COVID-19 ingeishia Wuhan tu huko.
 
Back
Top Bottom