Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Watu wengi mnatumia kivinjari Cha ๐๐ต๐ฟ๐ผ๐บ๐ฒ, ๐ ๐ผ๐๐ถ๐น๐น๐ฎ, ๐ฆ๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ฟ๐ถ kufanya mambo mengi Kwenye simu au kompyuta zetu ila achana nazo kuanzia Sasa !!!! ๐ค
Ni wakati wa kuzipiga chini sasa ๐ Yani bila pingamizi yoyote Kuna kivinjari kizuri sana watu wengi hawakijui Kiko poa sana ni mbadala wa chrome nk.
Kuna kivinjari kinaitwa ๐๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ ni kizuri sana kutumia mwaka 2022 kupitia simu au kompyuta Yako. Spidi yake iko kasi sana mara 3 ya chrome, safari , Mozilla ulinzi wake uko poa kulinda taarifa zako na teknolojia yake ni kubwa mnoo..!!
Ukitumia ๐๐ฟ๐ฎ๐๐ฒ utaweza kuzuia mambo mengi Sana ndani yake kama vile ๐
โข Matangazo yoyote Yale ya kukera yanayotokea wakati unaingia Kwenye tovuti yoyote ile yenye matangazo yanadhuiliwa Wala upati stress ๐ค
โข itakulinda dhidi ya malware hatarishi pamoja na virusi Kwenye simu au kompyuta wakati unaperuzi ๐พ
โข automatically zinafanya kazi ya kuzuia tovuti yoyote hatarishi isijekukuathili bila kujijua๐
โข Iko Kasi sana Kwenye kupakua kitu mtandaoni Yani utafikiri treni ya umeme kutoka china ๐
โข uwezo wa kushare taarifa kwa kutumia qr code una labda Kuna kitu unataka kukisoma mtandaoni ila Kiko kwenye Kompyuta kwq kutumia brave kwenye Qr code una scani TU mzigo unaona kupitia Simu
โข wale wazee wa crypto currency Kuna wallet ambayo itakusaidia kulinda akaunti Yako isiathiliwe ๐ณ
Unaweza kuipakua play store au app store pia kupitia site yao ingia sasa ๐๐
www.brave.com