moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
- Thread starter
- #21
Mbona nyie hamubebwiKwa kubebwa mnapokutana na simba ndo Sifa yenu,,
Mechi zenu zote mkipambana na Mnyama lazima Marefa wenu wawasaidie kwa kuwapunguzia mchezaji wetu mmoja,,
Ktk hizo sifa hakuna hata mmoja inayowapa nyie Vyura kuwa Mabingwa,,
Timu lenu limejaa Wazee watupu,, Shikamoo Jzz band,,
Huyo mkata Umeme hata spaner hajui kushika.
mtabebwa lini???