Achana na kamati za harusi kodisha Events management company

Achana na kamati za harusi kodisha Events management company

Unadhani watu wanaweka kamati ili kuwasaidia uandaaji au wanaandaa kamati kuwasaidia kifedha ?

Kwa taarifa yako hata hizi event management zipo kwenye Kamati; ndio hizo kamati za Vyakula, Vinywaji, Video n.k.; Yaani hizo management department zipo kwenye kila Kamati na zinatoa hata mchango laki moja ili muwape biashara ya milioni tatu...

Labda ushauri wako ungekuwa kila mtu afanye sherehe kwa uwezo wake, yaani hata kama pesa haitoshi aende kwenye kaukumbi ka Bar na kufanya bottle party unawapa nyama kidogo wao wakitaka vinywaji zaidi wananunua kwa pesa yao binafsi (uwepo wao ni tosha sio kuwachaji kutumia kiingilio)
 
Punguza stress na kutafutana maneno na ndugu. Ukitaka kuoa kodisha kampuni ya event management wakuandalie sherehe
Jaribu kutoa maelezo kidogo kwenye hoja yako, bado haijitoshelezi mkuu.
 
Back
Top Bottom