BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,813
- 3,430
Ukienda kununua vitu Kariakoo, Wachina hawataki malipo kwa simu au benk wanataka cash,baadhi ya wafanyabiashara hawatoi risiti,Mhindi anauza hela millions hatumii benki anatumia miamala ya kawaida ya simu!
Acheni kufuatilia Wafanyabiashara wa kujikimu, real culprits with impact in economy wapo Kariakoo! Hao Migombo waendeshe msaka wa risiti kariakoo na malipo kupitia benki,au Lipa kwa simu mtaona matokeo.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake