Nchi ina changamoto nyingi sana hata wafanyakazi wa TRA baadhi yao kama wamejikatia tamaa, huduma ni mbovu na bila kutoa chochote kitu huduma hupewi.WAfanyabiashara 90 au99% hawatoi risit na hata wakitoa hawaandiki bei halis.kariakoo nimejionea mara kwa mara lakini nikikumbuka namna wafanyakazi wa TRA wanavyokula rushwa pamoja na viongoxi wanaokula pesa za umma mabilioni na mabilioni huwa nakosa nguvu ya kudai risiti kabisa.
Wanakera sanaNchi ina changamoto nyingi sana hata wafanyakazi wa TRA baadhi yao kama wamejikatia tamaa, huduma ni mbovu na bila kutoa chochote kitu huduma hupewi.
Nilishangaa Meneja wa TRA kuamrisha Walinzi asipokee Wateja eti ofisini kuna kazi nyingi na hapo Mteja kaenda mwenyewe kupata huduma ili alipe kodi lakini majibu ya Meneja wa TRA yalizingua sana aisee
Nchi ina changamoto nyingi sana hata wafanyakazi wa TRA baadhi yao kama wamejikatia tamaa, huduma ni mbovu na bila kutoa chochote kitu huduma hupewi.
Nilishangaa Meneja wa TRA kuamrisha Walinzi asipokee Wateja eti ofisini kuna kazi nyingi na hapo Mteja kaenda mwenyewe kupata huduma ili alipe kodi lakini majibu ya Meneja wa TRA yalizingua sana aisee
Kamrija ka-aina gani hako ? 🤣siku nikipata kamrija ka kavuta pesa hivi👌au ngoj nikae kimya kwanza
nje ya mada
kaliko ji-connect na inapotoka pesa😎Kamrija ka-aina gani hako ? 🤣
Nilienda kufungua toto account ya watoto wangu benki moja Mnazi Mmoja tukiwa kwenye foleni tukaambiwa tupishe dirisha moja kuna kazi maalu6.Ukienda kununua vitu Kariakoo, Wachina hawataki malipo kwa simu au benk wanataka cash,baadhi ya wafanyabiashara hawatoi risiti,Mhindi anauza hela millions hatumii benki anatumia miamala ya kawaida ya simu!
Acheni kufuatilia Wafanyabiashara wa kujikimu, real culprits with impact in economy wapo Kariakoo! Hao Migombo waendeshe msaka wa risiti kariakoo na malipo kupitia benki,au Lipa kwa simu mtaona matokeo.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake