Achana na kusave pesa bank

Kwenye hili riba huwa inanikwaza sana, yaani inanikwaza vilivyo.
 
Ni kweli, kua na nidhani ya pesa haswa sisi wanaume kuna kaugumu kidogo...

Ila mimi vikundi sinaga imani navyo... napenda fix deposit, na ndiyo nachofanya...

Naweka bank tofauti tofauti ila kwa fix deposit.


Cc: mahondaw
Huu ndyo ujinga wa hali ya juu. Unaweka fixed depost wanaokupa interest ya 12% kwa mwaka. Wao wanakopesha kwa 20% inerest. Mwisho wa mwaka pesa yako inadepreciate value yake kwa 12%.. wewe ukiongezewa iyo 12% unadhan umepiga faida wakati ukijumllishaa 12% na depost yako value yake pikind iko ni sawa na ile value ya depost yako kipind unafungua acc.
 
Fixed deposit ni ya watu wavivu kifikra....nilifanya once nikajiona mburula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…