Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli, VICOBA ndio vilivyofanya biashara ya benk iwe ngumu sana siku hzVicoba vimezitikisa bank balaa
Huu ndyo ujinga wa hali ya juu. Unaweka fixed depost wanaokupa interest ya 12% kwa mwaka. Wao wanakopesha kwa 20% inerest. Mwisho wa mwaka pesa yako inadepreciate value yake kwa 12%.. wewe ukiongezewa iyo 12% unadhan umepiga faida wakati ukijumllishaa 12% na depost yako value yake pikind iko ni sawa na ile value ya depost yako kipind unafungua acc.Ni kweli, kua na nidhani ya pesa haswa sisi wanaume kuna kaugumu kidogo...
Ila mimi vikundi sinaga imani navyo... napenda fix deposit, na ndiyo nachofanya...
Naweka bank tofauti tofauti ila kwa fix deposit.
Cc: mahondaw
Fixed deposit ni ya watu wavivu kifikra....nilifanya once nikajiona mburulaHuu ndyo ujinga wa hali ya juu. Unaweka fixed depost wanaokupa interest ya 12% kwa mwaka. Wao wanakopesha kwa 20% inerest. Mwisho wa mwaka pesa yako inadepreciate value yake kwa 12%.. wewe ukiongezewa iyo 12% unadhan umepiga faida wakati ukijumllishaa 12% na depost yako value yake pikind iko ni sawa na ile value ya depost yako kipind unafungua acc.