Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vikundi ni vizuriNilipokuwa na miezi sita kwenye ajira yangu ya kwanza tayari nilikuwa na utaratibu wa kusave bank kwa njia ya kukatwa juu kwa juu kiasi flani.
Siku moja nikakutana na aliyekuwa mwalimu wangu chuo. Katika kubadilishana mawazo akaniambia kusave bank kwa njia ile si sahihi kwangu. Akanishauri niingie kwenye vikundi vya hisa na succos.
Kweli nilijiunga na vikundi vitatu tofaut vya hisa, ambavyo kila mwezi nilikuwa nanunua hisa si chini ya 250,00 kwa mwezi lakini pia nikajiunga na saccos ya ofsini nikawa nakwatwa 50,000 kila mwezi.
Kwa muda wa miaka miwili sasa naona matunda makubwa sana mfano kwenye vikundi hisa naweza kopa hela bila masharti magumu, lakini kila mwaka pesa inaongezeka ukilingana na nilipokuwa nasave bank.
Lakini pia vikundi hisa vina faida pale mwanachama anapopata matukio ya kijamii kama misiba, sherehe na ugonjwa. Lakini pia nimejifunza sisi wanaume nidhamu ya kusave pesa kidogo ni ndogo sana, mfano umepata 30,000 nje ya salary, ukiwa na vikundi hisa rshisi sana kutoa 15,000 ukaitupa kweny hisa.
Bank itumike tu kuweka pesa nyingi ikiwa kwenye njia za biashara ama uwekezaji na si kibubu.
Vijana tujiunge kwenye vikundi hisa vinasaidia sana. Na vikundi vizuri ni vile ambavyo vina wanachama wengi wanawake kwani wana nidhamu sana ya pesa na kuheshimu ratiba za vikundi.
Kwa serving account haipungui, ila inaongezeka kiduchu sanaKabisaa mkuu, mtu ana dunduliza 50,000 kila mwezi kwa kusave bank, ukitaka kujua ni balaa weka 50,000 iache miezi sita bila kuongezea, utakuta inepungua,
Duuu hiyo ya kila wiki too much... mara moja kwa mwezi inatosha sana. Faini muhimu kwa wachelewaji na wasiohudhuria. Unapotaka kufanikiwa lazima uwe na nidhamu. Hizi penati zinaongeza pia mapato ya mfuko. Kuna penati ya kuchelewa kikaoni, kutofika na kuchelewa kutuma fedha.Hivi vikundi ni vizuri
Vinanishinda sehemu moja tu, kuhudhuria kila wiki na usipofanya hivyo eti unapigwa penati
Ubarikiwe sana, nataman vijana wengi wangetambua hii opportunity, kabla mm sijaanza kutumia Vikoba na Succoss pesa ndogo ndogo inje ya mshahara sikuona kama ni mhimu kusave, lakini sasa hivi najua kila week au mwwzi lazima niwe na hisa, lakin pia Succoss mtu unaweza kopa hadi m10, bila hata ya mashariti magumu magumu kivile.Asante sana mtoa mada. Ulichosema ni kweli kabisaa. Nilipoajiriwa tu nioijiunga na saccos na kuanza kununua hisa na kuweka akiba. Baada ya mwaka mmoja nikianza kukopo na kufungua biashara. Hadi sasa nimebakiza miez kama 6 hivi naachana na kazi naenda kusimamia biashara yangu. 90% ya mtaji wangu nmeupata saccos
Mkuu kila kitu kina risk nyuma yake, kwa mfano kwa walio makazin, kuna maofisi mengine wana succoss ambazo mwanachama anakatwa direct toka kwa salary, hizi nzuri sana maana pia unaweza ongeza akiba utakavyo. Kwa vikoba ni mhimu sana kuangalia wanachama wengi source zao nn, inasaidia sana kuchoose the right one.yan tatizo ribaaaaaaaaa yan hata ukaniambia chukua 1ml urejeshe na riba ya 500 ushanikosa.......napambana kivyangu....kuna mtu kasepa na laki 9 za wanakikundi yeye ndio mweka hazina.......mwingine kasepa na 300000 hawa wa kibati (mchezo)......huko saccos sijui ila naonaga tu wakibambuana vitanda na vyombo.....mwingine anauza deki anadaiwa marejesho......huyu nae anacheza mchezo huku hana kazi so anategemea ela ya matumizi sijui ndio anaibana kibajet.....do it for ur own risk.......kuna walinufaika navyo mf bodaboda wengi hapa kitaa walikuwa na pikipiki za mkataba/kipande now wamenunua zao.......do it but anything can happen
Mkuu, kwani kuna shida gani let's say mimi nanunua hisa kama kawa na contribution nyingine natoa lakini siwezi kuhudhuria vikaoDuuu hiyo ya kila wiki too much... mara moja kwa mwezi inatosha sana. Faini muhimu kwa wachelewaji na wasiohudhuria. Unapotaka kufanikiwa lazima uwe na nidhamu. Hizi penati zinaongeza pia mapato ya mfuko. Kuna penati ya kuchelewa kikaoni, kutofika na kuchelewa kutuma fedha.
Hizi mambo huwa zipo beyond financial matters. Kuna kusaidiana member anapopata tatizo au anapokua na jambo la kheri.Mkuu, kwani kuna shida gani let's say mimi nanunua hisa kama kawa na contribution nyingine natoa lakini siwezi kuhudhuria vikao
Hiyo inakuwa inamaanisha kuwa nipo tayari kufanyia kazi maamuzi watakayotoa wenzangu waliohudhuria kwenye vikao
Hahaha upo sahihi sana.. Lazima wewe utakuwa mwanakikundi mzoefuHizi mambo huwa zipo beyond financial matters. Kuna kusaidiana member anapopata tatizo au anapokua na jambo la kheri.
Sasa wewe ukitoa tu michango na kushiriki remotely siku ukiwa na suala lako haitakua na uzito wenzio kushirikiana na wewe.
Lakini pia huwa kuna masuala ya kikundi hua yanahitaji ideas na majadiliano ya members wote. Mfano inaweza ifike sehemu muamue interest mnayopata kwenye kikundi mnunue mamshamba, viwanja au hata mfanye mradi. Inapendeza wote mtoe maoni otherwise wewe utakua unaendelea kwa kufaidi tu mawazo ya wengine wakati hushiriki.
Hawa wanaohudhuria na kushiriki si kwamba hawana majukumu mengine na wao wasihudhurie but hiyo ndo discipline na commitment inayotakiwa ili kikundi kisiyumbe.
Unajuwa nimewahi hapa ndani ili nijue kuhusu hisa, wapi papo pouwa kununua hizo hisa, analysis makini ulizozifanya na kwa kuwa unazaidi ya miaka 2 ushakuwa mzoefu unaweza kutunyambulia faida kamili ya hisa (may be minimum ni % ngapi ya nilichokiweka kitakuwa faida)Nilipokuwa na miezi sita kwenye ajira yangu ya kwanza tayari nilikuwa na utaratibu wa kusave bank kwa njia ya kukatwa juu kwa juu kiasi flani.
Siku moja nikakutana na aliyekuwa mwalimu wangu chuo. Katika kubadilishana mawazo akaniambia kusave bank kwa njia ile si sahihi kwangu. Akanishauri niingie kwenye vikundi vya hisa na succos.
Kweli nilijiunga na vikundi vitatu tofaut vya hisa, ambavyo kila mwezi nilikuwa nanunua hisa si chini ya 250,00 kwa mwezi lakini pia nikajiunga na saccos ya ofsini nikawa nakwatwa 50,000 kila mwezi.
Kwa muda wa miaka miwili sasa naona matunda makubwa sana mfano kwenye vikundi hisa naweza kopa hela bila masharti magumu, lakini kila mwaka pesa inaongezeka ukilingana na nilipokuwa nasave bank.
Lakini pia vikundi hisa vina faida pale mwanachama anapopata matukio ya kijamii kama misiba, sherehe na ugonjwa. Lakini pia nimejifunza sisi wanaume nidhamu ya kusave pesa kidogo ni ndogo sana, mfano umepata 30,000 nje ya salary, ukiwa na vikundi hisa rshisi sana kutoa 15,000 ukaitupa kweny hisa.
Bank itumike tu kuweka pesa nyingi ikiwa kwenye njia za biashara ama uwekezaji na si kibubu.
Vijana tujiunge kwenye vikundi hisa vinasaidia sana. Na vikundi vizuri ni vile ambavyo vina wanachama wengi wanawake kwani wana nidhamu sana ya pesa na kuheshimu ratiba za vikundi.
Nakuja mkuuUnajuwa nimewahi hapa ndani ili nijue kuhusu hisa, wapi papo pouwa kununua hizo hisa, analysis makini ulizozifanya na kwa kuwa unazaidi ya miaka 2 ushakuwa mzoefu unaweza kutunyambulia faida kamili ya hisa (may be minimum ni % ngapi ya nilichokiweka kitakuwa faida)
Ukifanya hivyo itakuwa pouwa sana Mkuu,