Achana na madogo kama( Rema, Fireboy, Tems, Libianca, Omah lay, Asake, Ayra starr n.k ) huyu dogo Ruger ni wa moto sana

Achana na madogo kama( Rema, Fireboy, Tems, Libianca, Omah lay, Asake, Ayra starr n.k ) huyu dogo Ruger ni wa moto sana

Wa Nigeria ni watu wana bidii sana
Nakubali sana
Kama wasanii hawaachi deni wanakamua kweli
Video kali
Namkubali yule dogo alifanya colobo na tiger
Aisee muhuni aliimba ile mbaya
 
Lina matatzo
Huyu hapo akiwa na Rema
ruger-co.jpg
 
Back
Top Bottom