Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Aug 8, 2023 Thread starter #21 BEST 001 said: Yeye ni kma game changer huoni hizo Keats zinazovuma kwenye amapiano zetu Click to expand... Yes, yupo vizuri namkubali pia mzee wa Peace Be Unto You🔥
BEST 001 said: Yeye ni kma game changer huoni hizo Keats zinazovuma kwenye amapiano zetu Click to expand... Yes, yupo vizuri namkubali pia mzee wa Peace Be Unto You🔥
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Aug 8, 2023 #22 Wa Nigeria ni watu wana bidii sana Nakubali sana Kama wasanii hawaachi deni wanakamua kweli Video kali Namkubali yule dogo alifanya colobo na tiger Aisee muhuni aliimba ile mbaya
Wa Nigeria ni watu wana bidii sana Nakubali sana Kama wasanii hawaachi deni wanakamua kweli Video kali Namkubali yule dogo alifanya colobo na tiger Aisee muhuni aliimba ile mbaya
Ndondocha mkuu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 2,490 Reaction score 2,965 Aug 8, 2023 #23 So special said: Mambo ya wasanii hayo( fashion ) Click to expand... Lina matatzo
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Aug 9, 2023 Thread starter #24 Ndondocha mkuu said: Lina matatzo Click to expand... Huyu hapo akiwa na Rema
Jackson996 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2019 Posts 773 Reaction score 1,355 Oct 30, 2023 #25 Kukuruku cook that thing
R Rioh JF-Expert Member Joined Jun 16, 2023 Posts 437 Reaction score 724 Oct 30, 2023 #26 Dogo yuko vizuri Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app