Achana na Mwanachuo!

Mama J yule askari polisi au?
 
Binadamu huwa na marafiki wapi kulingana na eneo au shughuli inayowaunganisha, hata tuliokuwa nao urafiki zaidi ya undugu mashuleni leo wanamarafiki wapya zaidi ya undugu makazini
 
Kuoa mwanamke aliyepita chuo ni ujinga uliopitiliza
 
Mdada anaishi hostel semester moja,the rest anaishi gheto na jamaa,hadi atakapomaliza,anachapika hasa,yaani zaidi ya miaka yote aliyokua anasoma sekondari,kweli atataka aendelee nawewe wa mbali?
Muache kwanza aendelee kulea ndoa ya chuo,akimaliza hicho chuo,atarudi mtaani utajipigia,ila usimuoe.
 
Wwdada wakitanzania wakifika chuo ni ulimbukeni mtupu apo hakuna wa kuoa bora nikaoe darasa la saba failure
 
Nimeishia hapa "Pia yeye alijitoa haswaa kila nilipohitaji msaada wake wa hasa kwenye swala mbususu alinitunuku kila nikihitaji"

Kilichokuwa kinafuata kingenikumbusha vidonda vibichi
 
😃😃😀😀😀😀😀😀
 
Mnatushauri nini sis wenye watoto wetu wa kike. Maana haya mambo kwamba mwanangu anamkwe wangu Mimi sijui nawaza kwamba huyu ng'ombe ananiomba pesa ale na mwanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka nazikubali sana nyuzi zako[emoji2] hebu shusha vitu leo mkuu!
 
Hivi kwa nini na sisi wanaume huwa hatujifunzi?

Haya maswala ya kusomesha wanawake kisha unapigwa chini nimeanza kuyasikia miaka mingi sana, lakini bado yanaendelea. So huwa hatuyasikii matukio au ndio upofu wa kupenda?

Sio tu kusomesha hata kumuwezesha mwanamke kiuchumi, akisha simama tu kwenye biashara yake anakudharau na kukupelesha.

Binafsi nilichangia tu mwanamke akafungua saloon, basi ilikuwa tabu tupu, bahati mbaya badae saloon ikafa. Eti akajifanya mwema tena. Shida kweli kweli hawa watu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…