Mkuna mgongo
Member
- Dec 9, 2019
- 87
- 137
- Thread starter
- #161
Hamna umri maalumu lakini anatakiwa awe amefikia umri wa kuingiliwa na we we uwe na nguvu tuu 😄😄😄hivi kihuarisia unatakiwa umzidi mwanamke miaka mingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna umri maalumu lakini anatakiwa awe amefikia umri wa kuingiliwa na we we uwe na nguvu tuu 😄😄😄hivi kihuarisia unatakiwa umzidi mwanamke miaka mingapi?
Unauza mafriji sikuizi chilita?😂😂😂
Happy new year aisee
Kumbeee....basi kama ndo hivyo inahitajika kuwakwepa kama ukomaAnaliwa na mhadhiri wake
Kuna kadenti Kenzie kavaa mlegezo na kanyoa panki kana mkaza.
Analiwa na yule jibaba mwenye Subaru Forester new model.
Anauza mtandaoni.
Achana na hao viumbe fanya Yako.
Hao ni WA kuwatemea wazungu then unachapa lapa.
🤣🤣🤣🤣🤣Hizo ndoa za vyuoni ni kama toroli za supermarket, kazi yake ikiisha unaacha hapo hapo huondoki nalo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mbavu sinaa.Analiwa na mhadhiri wake
Kuna kadenti Kenzie kavaa mlegezo na kanyoa panki kana mkaza.
Analiwa na yule jibaba mwenye Subaru Forester new model.
Anauza mtandaoni.
Achana na hao viumbe fanya Yako.
Hao ni WA kuwatemea wazungu then unachapa lapa.
🤗🤗🤗Shukran chief ila me nisha block na kufuta namba😁😁
Mafeminist uchwara nimecheka sana [emoji1787][emoji1787]Wanaolewa kabisa kwa miaka mitatu au miwili mizima wakiwa vyuoni majamaa yanakula na kupakua chumba kimoja. Kinachokosekana kwenye ndoa hizi za vyuoni ni makaratasi tu. Halafu unakutana naye anakwambia eti mi sijawahi kuolewa. Kumbe alishaolewa ndoa bubu na si ajabu hata mimba kibao alishatoa. Wengi wao walishatumika sana kingono kwa kweli na kutokana na kuumizwa huko baada ya kutemwa ndo maana wengi wao wanaishia kuwa ma feminists uchwara! Ndiyo maana ndoa za wasomi hawa zinaongoza kwa talaka! [emoji706][emoji706]
Ukioa feminist uchwara umekwisha bro!
Mkuu usimsemee, wewe nenda mambo ya pelesu pelesu mwachie yeye😂😂😂Nilitaka nikufate pm nikutongoze nikaogopa utanipiga ndoige na pelesu pelesu, kama sio ngumi mchomoko, ndo maana nikikuona nakula Tu kwa macho sahivi 😅 Depal
Hahahh mkuu ndo unawasagia kunguni kabisa.Mkiwa mikoani mnadiss wanaume wa Dar. Mkija Dar mnakimbiwa, wachumba wamenogewa kupiga blow jobs ndingani.
Na hivyo vitoto vinavyokuja kusaka degrees vyuo vya Dsm vinagongwa kwa kupelekwa swimming tu ya 10k, dinner na kawine ka elfu 5.
Ugeni wa mji mbaya.
Hakuna namna mkuu. Inabidi tuwaambie hali halisi.
Nani wewe 🤔😳Unauza mafriji sikuizi chilita?
Hembu nitoe basi ya soda atiii[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa mbavu sinaa.
[emoji16][emoji4][emoji4][emoji16]Yaan siku iliyofuata asubuhi nikiwa njian narudi home ndo akanitafuta lakini sikupokea simu.
Nilipofka kabisa ndo nikampgia nikamweleza jinsi nilivyojisikia,. Akadai ety simu ilistaki day!
Nimekua sugu sasa vimchwara havisumbui sanaDuuh pole sana mkuu lakini umeshakomaa sasa kimapenzi
[emoji23][emoji23]kama nakuelewa vile, wana K zinabana na zinajoto kweli kweli
nilidate na F6 leaver 2015 hivi, nilikua nanyuka mpaka 7 usiku kucha qvm@nin@
Sawa ila sitoi hata mia mbovu ya matumizi atapambana na hali yakeMkitoka mikoani msiwafate hostel kuwafumania mtaishia kuitiwa mwizi unapoteza maisha ishatokea hii binti wa chuo kumuitia ex wake wake alipojichanganya kumsuprise akakuta yupo chini ya kifua cha mwanachuo mwenzake, jamaa akapigwa akafa. Mtu akishaenda chuo achana nae msubirie likizo akija. KILA eneo lina mmiliki wake.