Achana na North Korea, Wana JF ndio 'taifa' korofi zaidi Duniani!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Katika nijuze ya leo,
Wana JF ndio wameorodheshwa kuwa taifa korofi zaidi Duniani na mtandao wa Forbes!
Hili taifa, liimeliacha kwa mbaali taifa la North Korea ambalo limeshika nafasi ya pili.
Wana JF ndio wameonekana kuwa watu wakorofi kupindukia na Dunia nzima imeonywa kutowachokoza kwa namna yoyote ile ili kutunza amani ya Dunia!
 
Kweli kabisa.
 
Tena likichokozwa silaha yake ni mizinga ya nyuki, anakaa kule anakuita chini ya MTI anawatimua, hilo balaa lake kituo cha kwanza karibu na nyumba nyeupe pale opposite na wizara ya ujuzi na washika wallet zetu!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…