Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Katika nijuze ya leo,
Wana JF ndio wameorodheshwa kuwa taifa korofi zaidi Duniani na mtandao wa Forbes!
Hili taifa, liimeliacha kwa mbaali taifa la North Korea ambalo limeshika nafasi ya pili.
Wana JF ndio wameonekana kuwa watu wakorofi kupindukia na Dunia nzima imeonywa kutowachokoza kwa namna yoyote ile ili kutunza amani ya Dunia!