mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Uchambuzi hauhitaji source but Kama Kuna kombe Kati ya hayo linakupa shida sema but nenda App za timu zote hizo ndio makombe walioyaorodheshaSource?
Ngao ya jamii ni kombe?Mtani jembe kumbe na lenyewe lilikua ni kombe , duuh
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kombe ndio "trophy"Mtani jembe kumbe na lenyewe lilikua ni kombe , duuh
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Hapana ni siniaNgao ya jamii ni kombe?
Trust me broSource?
Kupitia takwimu yako nimejifunza kitu kwamba Yanga wapo serious kwenye michuano ya maana pekee ila Simba wapo serious hadi kwenye michuano ya bonanza.Yanga
Ligi kuu --28
Muungano--6
Kagame(cecafa)-5
Fa--6
Nyerere cup--3
Mapinduzi--2
Mtaani jembe--0
Tusker---2
Hadex--1
Cafcc---0
Cafcl--0
Ngao ya jamii--7
Banc ABE super8-0
Jumla--61
Simba
Ligi kuu--22
Kagame--6
Nyerere cup--3
Mapinduzi--4
Muungano--5
Tusker---4
Hadex--1
Mtaani jembe--3
Ngao ya jamii--9
Bank ABE super 8---1
Fa----5
Jumla-- 64
Wanaofuatia kwa mbaali
Azam
Ligi kuu --1
Fa--1
Mapinduzi 4
Ngao ya jamii 1
Jumla--7
Mtibwa
Ligikuu --2
Fa--2
Ngao ya jamii-1
Mapinduzi --2
Tusker--1
Jumla--8......
Huu ndio ukweli achana na matapeli
Lazima mtafute chocho la kutokea.....Kupitia takwimu yako nimejifunza kitu kwamba Yanga wapo serious kwenye michuano ya maana pekee ila Simba wapo serious hadi kwenye michuano ya bonanza.
Michuano ya maana kwa kipindi hicho ilikuwa minne
1) ligi kuu bara
2) muungano
3) Kagame cup
4) Nyerere cup ( kwasasa ni sawasawa na Azam Federation cup)
Hongera kwa ugunduziKupitia takwimu yako nimejifunza kitu kwamba Yanga wapo serious kwenye michuano ya maana pekee ila Simba wapo serious hadi kwenye michuano ya bonanza.
Michuano ya maana kwa kipindi hicho ilikuwa minne
1) ligi kuu bara
2) muungano
3) Kagame cup
4) Nyerere cup ( kwasasa ni sawasawa na Azam Federation cup)
Wapenda historia mnapoikataa history.Makolo bana, mmeweka hadi kombe linaitwa "hedex"?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Na hilo Bank ABE ndio lipi tena? Au ndio kama yale ya kili marathon? Mara eti kombe la mtani jembe, makolo mtaacha lini ujinga?
Hebu kuweni serious bana. Tuhesabu makombe yanayotambulika na TFF, CAF na FIFA. Yani uende kujichezea na akina Malimao FC huko, alafu uje kutuhesabia eti ni kombe umeshinda na unaliweka kwenye official records?
Aliewaita mbumbumbu apewe PhD!
UmemalizaHapana ni sinia