Achana na propaganda haya ndio makombe ya simba/yanga

Achana na propaganda haya ndio makombe ya simba/yanga

Makolo bana, mmeweka hadi kombe linaitwa "hedex"?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Na hilo Bank ABE ndio lipi tena? Au ndio kama yale ya kili marathon? Mara eti kombe la mtani jembe, makolo mtaacha lini ujinga?

Hebu kuweni serious bana. Tuhesabu makombe yanayotambulika na TFF, CAF na FIFA. Yani uende kujichezea na akina Malimao FC huko, alafu uje kutuhesabia eti ni kombe umeshinda na unaliweka kwenye official records?

Aliewaita mbumbumbu apewe PhD!
Mbona unadharau makombe?? Hiyo Banc super8 iliwahi kutengenezwa superleague ya Bongo na Simba walishinda na kikosi Cha majank .....
Kikosi kilikua hivi

Husen sharfu caslas
Miraj adam
Wilian Lucian
Mohamed faki
Shomari kapombe
Mkude
Chanongo
Edward Christopher
Awadh juma
Ramadhan singano
Ajib

Coach ,,Matola
Sub,,,Makame,ndemla,miraj,Hasan isihaka
 
Yanga
Ligi kuu --28
Muungano--6
Kagame(cecafa)-5
Fa--6
Nyerere cup--3
Mapinduzi--2
Mtaani jembe--0
Tusker---2
Hadex--1
Cafcc---0
Cafcl--0
Ngao ya jamii--7
Banc ABE super8-0


Jumla--61



Simba
Ligi kuu--22
Kagame--6
Nyerere cup--3
Mapinduzi--4
Muungano--5
Tusker---4
Hadex--1
Mtaani jembe--3
Ngao ya jamii--9
Bank ABE super 8---1
Fa----5

Jumla-- 64


Wanaofuatia kwa mbaali
Azam
Ligi kuu --1
Fa--1
Mapinduzi 4
Ngao ya jamii 1

Jumla--7

Mtibwa
Ligikuu --2
Fa--2
Ngao ya jamii-1
Mapinduzi --2
Tusker--1
Jumla--8......

Huu ndio ukweli achana na matapeli
Hapo kwa simba ongeza kachukua kombe la robo fainali klabu bingwa mara 3
 
Back
Top Bottom