Never argue with a fool....Mtoto wa kiume unakua na Gubu na mwanamke ka mnashare bwana....unataka pendwa weye nn...stupid
Hana kazi,ni vile ushamba wa Yanga tu wameuvaa mkenge wakihisi wataikomoa club ya Simba kwa kuchukua huo mzigo Senzo.Hivi senzo ana kazi gani pale jangwani, mwenye kujua anijuze
Nimefuatilia wydad, raja casablanca wanatumia uwanja wa manispaa wa mohamed vi, mamelod, kazer chiefs, orlando mpaka esperance wanacheza kwenye viwanja vya manispaa. Kabisa kuna mbongo anataka simba iwe na kiwanja kama benjamini mkpa stadium. Wengi hatufikilii haya mambo kibiashara.Kwa sasa hivi, hakuna ''sababu za kibiashara'' kwa Simba (au hata Yanga) kuwa na Uwanja wake wa mechi (mfano mkubwa kama wa Mkapa).
Kwa sasa ni sahihi timu hizi kuwa na viwanja vyake vya mazoezi tu.
Niko tayari kwa mjadala mpana ili kulitetea hili.
Kwa hiyo uwanja wa mpira ni uwekezaji? Utopolo hovyo kabisa.Ndio mnajifananisha na hao wenzenu wamewekeza Sana sehemu nyingi tofauti na nyie mmewekeza kwenye mapaka