Achana na Senzo, Barbara huyu dada ana connection balaa

Achana na Senzo, Barbara huyu dada ana connection balaa

Hivi senzo ana kazi gani pale jangwani, mwenye kujua anijuze
 
Hivi senzo ana kazi gani pale jangwani, mwenye kujua anijuze
Hana kazi,ni vile ushamba wa Yanga tu wameuvaa mkenge wakihisi wataikomoa club ya Simba kwa kuchukua huo mzigo Senzo.
Hapakuwa na hitajio la mtu kama Senzo kwa muunda wao wa club kwasasa,wameshia kumpa cheo cha ushauri wa club.
Mwisho wa siku Simba wakapata C.E.O mpya mwenye conection za nguvu pisikali Brbr Gonzalenz.
 
Kwa sasa hivi, hakuna ''sababu za kibiashara'' kwa Simba (au hata Yanga) kuwa na Uwanja wake wa mechi (mfano mkubwa kama wa Mkapa).
Kwa sasa ni sahihi timu hizi kuwa na viwanja vyake vya mazoezi tu.

Niko tayari kwa mjadala mpana ili kulitetea hili.
Nimefuatilia wydad, raja casablanca wanatumia uwanja wa manispaa wa mohamed vi, mamelod, kazer chiefs, orlando mpaka esperance wanacheza kwenye viwanja vya manispaa. Kabisa kuna mbongo anataka simba iwe na kiwanja kama benjamini mkpa stadium. Wengi hatufikilii haya mambo kibiashara.
 
Back
Top Bottom