mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hicho kichwa ni zaidi ya utopolo MILIONI 5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Zaidi Ya Lile Genge La WahuniHicho kichwa ni zaidi ya utopolo MILIONI 5.
Timu kama wydad na raja casablanca hawana uwanja, AC milan na Inter milan wanatumia uwanja wa jiji. Same as Bayern munich na liverkusen. Simba kwa sasa haihitaji uwekezaji wa aina hiyo.Kwa sasa hivi, hakuna ''sababu za kibiashara'' kwa Simba (au hata Yanga) kuwa na Uwanja wake wa mechi (mfano mkubwa kama wa Mkapa).
Kwa sasa ni sahihi timu hizi kuwa na viwanja vyake vya mazoezi tu.
Niko tayari kwa mjadala mpana ili kulitetea hili.
Wabongo bwana mtu ukiomba kupiga picha na mtu fulani basi mnafahamiana. Halafu kuna connection zingine hazina manufaa kwa timu bali kwa mtu binafsi. Mfano rais wa CAF au FIFA hawezi kuwa na urafiki/ ushirika zaidi na kiongozi wa timu fulani pekee.Seriously,
Maisha ya sasa, hasa katika nyanja ya biashara ni lazima uwe na connections.
Napenda sana namna Madam CEO anajaribu kui_''cycle'' Simba na wadau muhimu wa mpira kwenye mawanda ya kimataifa.
Naiona Simba inazidi kuwa kubwa sana miaka ya karibuni na huyu dada ana mchango mkubwa sana.
Hats off to her.
Wachezaji Wazawa vs Wachezaji WageniWakati Simba ikifanya mambo kimataifa Utopolo wao wnavurugana makundi yafuatayo:
Viongozi Vs benchi la ufundi.
Mashabiki Vs Marefa.
Yanga gsm Vs Yanga asili.
Noma kweliBaada ya kumfuatilia kwa muda mfupi aliokaa kama CEO wa Simba,nimegundua kuwa huyu Dada ukiachiabali u genius wake,ni mtu mwenye connection sana.
Leo katika mkutano wa CAF nimeona ni mtu anayefahamiana vizuri na Rais mpya wa shirikisho hilo.Ninaona Simba inashambulia kutoka kila idara.Kuanzia kwa mashabiki,wachezaji hadi CEO.
Kwa sasa namuona Senzo kama "Sarpong" tu. Hongera madame CEO.Simba to next level
Simba nguvu moja
Yanga kampuni Vs Yanga wazawa.Wachezaji Wazawa vs Wachezaji Wageni
Ndio mnajifananisha na hao wenzenu wamewekeza Sana sehemu nyingi tofauti na nyie mmewekeza kwenye mapakaTimu kama wydad na raja casablanca hawana uwanja, AC milan na Inter milan wanatumia uwanja wa jiji. Same as Bayern munich na liverkusen. Simba kwa sasa haihitaji uwekezaji wa aina hiyo.
Tatizo CAF huwa wanaiga kila kitu toka UEFA, hii CAF Champions League ndio inaenda kupoteza mvuto kabisa, na hizo timu 20 zitakazo shiriki hayo mashindano zitatakiwa kulipia ada ya ushiriki.Afu ni hii caf champion itakuwaje
Ili uwe mshiriki wa hiyo ligi inabidi ulipe bilioni 40,hiyo pesa mkiani ipo,maana b 20 tu ya uwekezaji inapigwa dana danaMpango uliopo CAF sasa ni kutengeneza ligi ya timu 20 bora Afrika na Simba itakuwa miongoni mwa timu hizo.
... uko sahihi 101%. Utafiti usio rasmi kuanzia mitaani, kwenye mabaa, kumbi za starehe, hadi viwanjani umeonesha Simba SC ndiyo klabu yenye mashabiki wengi zaidi wa kike nchini na katika hao wengi ni warembo.Halafu nikuibie siri. 'Wanawake wote warembo wako Simba sc'. (Jitafakari)
😂😂
Senzo mpigaji tu, anakula hela za GSM. Hakuna anachoweza kuwashauri Yanga zaidi ya kuwadanganya atahonga Wachezaji wa Simba wafungishe.Baada ya kumfuatilia kwa muda mfupi aliokaa kama CEO wa Simba,nimegundua kuwa huyu Dada ukiachiabali u genius wake,ni mtu mwenye connection sana.
Leo katika mkutano wa CAF nimeona ni mtu anayefahamiana vizuri na Rais mpya wa shirikisho hilo.Ninaona Simba inashambulia kutoka kila idara.Kuanzia kwa mashabiki,wachezaji hadi CEO.
Kwa sasa namuona Senzo kama "Sarpong" tu. Hongera madame CEO.Simba to next level
Simba nguvu moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe vyura baada ya kufeli kila Mjadala wanaolishwa ujinga sasa wamehamia kwenye Mjadala waliolishwa ujinga eti Simba ina Wachezaji wageni!
Hawa Kenge wamewahi kujiuliza Real Madrid iliyochukua UCL mara 3 mfululizo ilikuwa na Wazawa/Waspain wangapi?
Bale - Benzema - Ronaldo
Kroose - Casemiro - Modric
Marcelo - Ramos - Varane - Cav
Navas
Kikosi kizima hapo cha Real kina Wazawa wawili tu (Ramos na Cav)
Wakati Simba Kuna Manula, Tshabalala, Kapombe, Mzamiru, Bocco, Dilunga na Nyoni ambao wanacheza mara kwa mara.
Hawa Utopolo haki ya Mungu bora Paka wangu ana akili kuliko wao manake panya hakatizi nyumbani kwangu.
Akili za mswahiliSenzo mpigaji tu, anakula hela za GSM. Hakuna anachoweza kuwashauri Yanga zaidi ya kuwadanganya atahonga Wachezaji wa Simba wafungishe.
Yaan Senzo, Hersi na Nugaz wapo kwenye chama moja la wapigaji wa hela za GSM kwa mgongo wa Yanga.
Wabongo bwana mtu ukiomba kupiga picha na mtu fulani basi mnafahamiana. Halafu kuna connection zingine hazina manufaa kwa timu bali kwa mtu binafsi. Mfano rais wa CAF au FIFA hawezi kuwa na urafiki/ ushirika zaidi na kiongozi wa timu fulani pekee.
Connection yenye manufaa ni za makampuni mbali mbali za kibiashara.
Naona km vile hujielewi.Uko low sana,inaonyesha huna exposure ya maisha ya kileo. Mpumbavu fulani.Mbumbumbu ni mbumbumbu tu rage hakukosea sasa akishiriki huo mkutano Kuna faida gani wakati timu lite wachezaji wageni