Achana na Senzo, Barbara huyu dada ana connection balaa

Achana na Senzo, Barbara huyu dada ana connection balaa

Baada ya kumfuatilia kwa muda mfupi aliokaa kama CEO wa Simba,nimegundua kuwa huyu Dada ukiachiabali u genius wake,ni mtu mwenye connection sana.

Leo katika mkutano wa CAF nimeona ni mtu anayefahamiana vizuri na Rais mpya wa shirikisho hilo.Ninaona Simba inashambulia kutoka kila idara.Kuanzia kwa mashabiki,wachezaji hadi CEO.

Kwa sasa namuona Senzo kama "Sarpong" tu. Hongera madame CEO.Simba to next level

Simba nguvu moja
Hofu yangu ni anaweza panda ngazi akaiacha simba hapo baadae. Ama advantage ya kuwa smart na pia kuwa mwanamke..
 
Wabongo bwana mtu ukiomba kupiga picha na mtu fulani basi mnafahamiana. Halafu kuna connection zingine hazina manufaa kwa timu bali kwa mtu binafsi. Mfano rais wa CAF au FIFA hawezi kuwa na urafiki/ ushirika zaidi na kiongozi wa timu fulani pekee.
Connection yenye manufaa ni za makampuni mbali mbali za kibiashara.
Mkuu, Wewe ni kilaza mmoja very smart.
 
matunda ya connection za barbra ndio hayo ya simba kupigwa ban ya kuingiza mashabiki uwanjani
 
Ili tuendelee na mjadala huu ni lazima tuwe kwenye ukurasa mmoja.

1. Unaamini kuwa bi Barbra alienda tu kupiga picha na akina Etoo, Infantino na Motsepe, na kwamba watu hao hawamjui Barbra na hawatamkumbuka kwa lolote ?

2. Unaamini kwamba Barbra alienda kushiriki mkutano huo kwa niaba ya klabu anayoiongoza, ili kujenga ''connection'' na CAF, FIFA na wadau wengine wa soka katika ulingo wa kimataifa. Ila connection hizo hazina msaada wowote kwa klabu yake (Simba Sports Club) ?

Ni lipi unalisimamia kati ya hayo mawili hapo juu mkuu ?

Nikifahamu hilo, nitakua katika mazingira mazuri ya ama kujadiliana, kukufundisha au kufundishwa nawewe.

Karibu

Nacho amini mimi ni kwamba Barbra alienda kushiriki huo mkutano kwa niaba ya klabu anayoiongoza kisha aliomba kupiga picha na viongozi wao kama sehemu ya ukumbusho.

Hakuna ukaribu wala kitu chochote ambacho kimempeleka kwa lengo la connection kwa hao viongozi kwasababu hao viongozi wa timu/vilabu vyote na wanasimamia sheria za mpira. Kama ni connection basi ni connection kwa ajili yake binafsi (nafasi ya kazi) na sio connection kwaajili ya timu

Note: kungekuwa na ujamaa au hiyo connection hiyo ingekuwepo, tusingesikia Simba imezuiwa mashabiki wake kuingia uwanjani. Wangeachwa kama ilivyokuwa zamani kabla ya huyo kiongozi mpya kuingia madarakani
 
Kesho ukiwa Mbeya mjini pita city pub burudika kwa gharama yangu, nakukubali sana bibie
Ikoteka uko Mbeya kabla ya wiki ya Pasaka utaniambia, uende pale city pub uburudike, mimi ni mdau wao wa muhimu sana.
 
Nacho amini mimi ni kwamba Barbra alienda kushiriki huo mkutano kwa niaba ya klabu anayoiongoza kisha aliomba kupiga picha na viongozi wao kama sehemu ya ukumbusho.

Hakuna ukaribu wala kitu chochote ambacho kimempeleka kwa lengo la connection kwa hao viongozi kwasababu hao viongozi wa timu/vilabu vyote na wanasimamia sheria za mpira. Kama ni connection basi ni connection kwa ajili yake binafsi (nafasi ya kazi) na sio connection kwaajili ya timu

Note: kungekuwa na ujamaa au hiyo connection hiyo ingekuwepo, tusingesikia Simba imezuiwa mashabiki wake kuingia uwanjani. Wangeachwa kama ilivyokuwa zamani kabla ya huyo kiongozi mpya kuingia madarakani

Nimekuelewa.

Kwanza umekubali kwamba Bi Gonzalez ameenda kusimamia maslahi ya Simba katika ''platform'' za soka la kimataifa. (Naamini ni sera ya klabu yake kujipenyeza kwenye ''ulingo wa soka kimataifa'' kwa kutumia fursa mbalimbali zinazojitoleza).

Pili, ni kweli huenda Bi Barbra anatumia fursa anazozipata akiwa kama C.E.O wa Simba kujijenga yeye mwenyewe kwa ajili ya kesho yake. Na hili si kosa hata kidogo.

Kwa maoni yangu, naamini kwamba kila anayepata fursa moja na aitumie vizuri ili kuandaa fursa nyingine siku zijazo.

1. Barbra aliitumia MeTL kujijenga na hatimaye ikampa fursa nyingine pale Simba S.C. (Then Simba to her next step...)
2. Manara ameitumia Simba S.C kupata mikataba na ubalozi wa makampuni mbalimbali ya biashara...
3. Antonio Nugaz ameitumia Clouds Media kupata dili lake Yanga S.C
4. Hassan Bumbuli ''anapaswa kuitumia nafasi yake pale Yanga'' kuandaa fursa zingine mahala pengine....
5. ''Yeye'' apatae dili Barrick na aitumie hiyo fursa ili kesho apate dili Vodacom
6. ''Yule'' apatae dili GSM na alitumie hilo dili ili kesho apate dili ''Yapi Merkezi''

Ndio maisha yanavyokwenda.
Tukumbuke kwamba hizi taasisi zipo kwa miaka mingi, watu wanakuja na kuondoka. Barbra hatokaa Simba S.C milele, ni sahihi kabisa akitumia vizuri ''benefits'' za kuwa mtendaji mkuu wa Simba kwa ajili ya ''future'' ya Simba na ya kwake mwenyewe.

Kule Clouds wana msemo wao wanasema ''Tunakufungulia Dunia....''

Kuhusu suala la mashabiki, tangu mwanzo mimi nilikua naamini kwamba Simba S.C walikua wanapata ''unfair advantage over other clubs''.

Kwa utaratibu wa sasa, kwamba timu zote zisicheze na mashabiki naamini kuwa ''haki kwa wote'' ndio imetendeka.
Katika hili, naamini utaratibu utakua ni uleule hata katika mechi za nyumbani za timu ya Namungo.
Hivyo basi, hapa sioni ''jitihada'' za Barbra, au Simba S.C zingewezaje kubadili hili.
Mashindano yanapaswa kufanyika katika mazingira sawia. Hapo mwanzo sawia hii haikuwapo, na sasa hivi ipo.

Mwisho wa maoni yangu juu ya hili.
Karibu
 
Baada ya kumfuatilia kwa muda mfupi aliokaa kama CEO wa Simba,nimegundua kuwa huyu Dada ukiachiabali u genius wake,ni mtu mwenye connection sana.

Leo katika mkutano wa CAF nimeona ni mtu anayefahamiana vizuri na Rais mpya wa shirikisho hilo.Ninaona Simba inashambulia kutoka kila idara.Kuanzia kwa mashabiki,wachezaji hadi CEO.

Kwa sasa namuona Senzo kama "Sarpong" tu. Hongera madame CEO.Simba to next level

Simba nguvu moja
Anatumia vema urimbwende wake.[emoji8][emoji8][emoji8]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Akili za kuambiwa changanya na zako....MO hakuwahi kumpenda Senzo ..pata picha pale Boss wako anavyokuwa hakupendi kila ukipeleka mpango mezani anaupiga chini...we acha kabisa...Huyu mwanamke "ni pendo la MO" saana ndio maana kila aombacho anapewa kumbuka bado yupo mafunzoni jinsi ya kuongoza soka lakini watanzania na ulimbukeni wetu tukiongozwa na wachambuzi mandazi wa soka letu tunaona eti kafanya makubwa ...hamna kitu...CEO wa sasa Simba baada ya Senzo ni General wa zamani kutoka NSSF nadhani mnamfahamu (Magori) yule mwanamke yupo pale kama picha tu kingereza kingi tu
Mtoto wa kiume unakua na Gubu na mwanamke ka mnashare bwana....unataka pendwa weye nn...stupid
 
Back
Top Bottom