sidhani kama inabadirisha chochote ki uharisiaLil inamaanisha Little kama kafanya kazi zaidi ya miaka 10 huyu siyo little tena ni kibabu.
Lil Bow Wow alipotimiza 18 akaacha kujiita Lil Bow Wow na kujiita Bow Wow sawasawa na Lil Romeo na Lil Sama a.k.a Mr Blue.
hawa ni wale wanaotafuta vyuwazi tu, kontenti ziro humoNi tetesi au ni kweli maana hata dida ilianza hivi hivi wa kasema ni tetesi kumbe ni kweli View attachment 1358971View attachment 1358972
Hata hizo radio zingine ukiondoa TBC zamani RTD na RFA zilianza kwanza Dar ndio zikaanza kujisogeza mikoani.WCB waanze na coverage kwanza sasa redio inapatikana Dar na Pwani ndio unaenda kusajili watangazaji maarufu kama wote?
Lil Wayne alishaacha kujiita hivyo. Kisha akaendelea kujiita hivyo na kusema hiyo Lil kwake inamaanisha Low. Ndo sometimes hujiita Low Wayne
[emoji1] [emoji1] [emoji1] aaah kudadekihuu mwandiko wa Lil Ommy kabisaa
Vp kuhusu lil kim, bibi wa miaka 45 sasa tangu enzi za kina biggieLil Wayne alishaacha kujiita hivyo. Kisha akaendelea kujiita hivyo na kusema hiyo Lil kwake inamaanisha Low. Ndo sometimes hujiita Low Wayne
Mnamsahau sana Pascal Mayalla ndio muanzilishi wa haya mambo sema hapendi tu kujisifia yeye ni kama kibaAnaenda kujenga empire yake na kuwa mkubwa zaidi kama walivofanya Sky Walker, Sam Misago na MillarAyo?
Mkuu ni vzr ukakumbuka siku hizi kuna internet. Mara chache nilizosikiliza Wasafi FM wachangiaji waliopiga simu walikuwa wa kutoka nje kabisa ya coverage yao kuonesha kuwa wasikilizaji wanafuatilia zaidi via internet coverage ya TCRA siku hizi si chochote.WCB waanze na coverage kwanza sasa redio inapatikana Dar na Pwani ndio unaenda kusajili watangazaji maarufu kama wote?
Online is everythingMkuu ni vzr ukakumbuka siku hizi kuna internet. Mara chache nilizosikiliza Wasafi FM wachangiaji waliopiga simu walikuwa wa kutoka nje kabisa ya coverage yao kuonesha kuwa wasikilizaji wanafuatilia zaidi via internet coverage ya TCRA siku hizi si chochote.
Umemkumbuka Ndugu Pascal, yule yeye ni mkubwa zaidi kwenye fani amevuka level za kukaa na watu wazito zaidi na wengi wanawakumbuka hawa ambao wanagusa watu ambao wapo mioyoni mwao kwa sasa.....Sky Walker kwa siku za usoni atafuata nyayo za PascalMnamsahau sana Pascal Mayalla ndio muanzilishi wa haya mambo sema hapendi tu kujisifia yeye ni kama kiba
mmmmh muache afanye atakaloona linafaa coz achana na akina dorzen, dullah the planet, na wengine wengi ila pamoja na uwezo walionao bado wanafanya kazi chini ya watu na kunawatangazaji wanazaidi ya miaka 20 kwenye Tasnia kama akina fred waa , Gadna na bado wanaendelea ikawe huyo mwenye miaka 10 all in all ni ushauri mzuriBaada ya Mtangazaji mwenye ushawishi wa kituo cha Times FM Ommary Rajabu Saleh Tambwe aka Lil Ommy kuaga rasmi kuwa hatoendelea kuwa mfanyakazi wa kituo hikch alichokifanyia kazi kwa muda mrefu akitokea VoT FM (Voice of Tabora FM) takribani miaka 10, tetesi zimekuwa nyingi.
Wengine wanadai nguvu ya pesa imemnyakua, na kuwa anaenda kujiunga na kituo cha redio cha Wasafi FM.
Ukirejea kauli zake kadhaa na mahojiano aliofanya kwenye kipindi cha Salama, alidai alishawahi kukutana na Marehemu Ruge na alikuwa akimuhitaji ila walikuwa kwenye mazungumzo.
Kikubwa alisisitiza ofa ni nyingi ila hawafiki kwenye makubaliano/muafaka na kupelekea abaki kwenye kituo mama anachofanyia kazi.
Lil Ommy ana deal nyingi sana. Pengine mshahara wa Times ulikuwa wa kawaida ila aliamua ajitengenezea himaya akiwa pale.
Kuna maswali kadhaa ya kujiuliza:
Je, ni kweli anaenda kujiunga na Wasafi FM?
Je, Clouds wanatimiza mazungumzo yaliyoanzishwa na Ruge?
Anaenda kujenga empire yake na kuwa mkubwa zaidi kama walivofanya Sky Walker, Sam Misago na MillarAyo?
Anaenda ku-deal na kipindi chake walichokuwa wameanza kukitengeneza na Raque?
Kuna kampuni kubwa imemtaka kumsimamia kwa ukubwa zaidi ndiyo maana kasepa na timu yake?
Tuache muda uzungumze na tuachane na "Tetesi", pesa anayopata/alizopata kutoka kwenye matangazo ni nzuri: Minutes Maid, TOTAL, Johar Rotana, Coca Cola, nk zinaweza kumfanyia kitu na siyo kwenda kuwa chini ya watu tena.
NB: Next week, J3, atawajuza nini anafanya na yupo wapi.
Tchao!