Ole Kwikwi
Senior Member
- Feb 1, 2020
- 103
- 217
Nashauri kwa hatua aliyofikia Lil Ommy ni vizuri akaanzisha empire yake kama alivyofanya Sky Walker,Zamaradi na wengineo,naamini itafanya vizuri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangapi wenye access na Internet?Mkuu ni vzr ukakumbuka siku hizi kuna internet. Mara chache nilizosikiliza Wasafi FM wachangiaji waliopiga simu walikuwa wa kutoka nje kabisa ya coverage yao kuonesha kuwa wasikilizaji wanafuatilia zaidi via internet coverage ya TCRA siku hizi si chochote.
ushauri mzuri piaNashauri kwa hatua aliyofikia Lil Ommy ni vizuri akaanzisha empire yake kama alivyofanya Sky Walker,Zamaradi na wengineo,naamini itafanya vizuri!
umesikikammmmh muache afanye atakaloona linafaa coz achana na akina dorzen, dullah the planet, na wengine wengi ila pamoja na uwezo walionao bado wanafanya kazi chini ya watu na kunawatangazaji wanazaidi ya miaka 20 kwenye Tasnia kama akina fred waa , Gadna na bado wanaendelea ikawe huyo mwenye miaka 10 all in all ni ushauri mzuri
Acha uongo na kupotosha watu eti TCRA Coverage si Chochote,.Mkuu ni vzr ukakumbuka siku hizi kuna internet. Mara chache nilizosikiliza Wasafi FM wachangiaji waliopiga simu walikuwa wa kutoka nje kabisa ya coverage yao kuonesha kuwa wasikilizaji wanafuatilia zaidi via internet coverage ya TCRA siku hizi si chochote.
Siyo kila mwenye hivyo Vifaa anasikiliza radio online, Kusapoti kauli ya kua TCRA Coverage si chochote huo ni Uzwazwa na mihemko ya kishabikikila mtumiaji wa Smartphone, Tablet, computer ana access na Internet
suala la ushabiki limetoka wapi..?,Siyo kila mwenye hivyo Vifaa anasikiliza radio online, Kusapoti kauli ya kua TCRA Coverage si chochote huo ni Uzwazwa na mihemko ya kishabiki
Acha ubishi Online is everything, hata hayo Makampuni siku hizi yanapunguza gharama za kwa kupeleka matangazo kwenye vipindi vichache vya redio, Redio ambazo content zao zinaenda online wengi hupenda bidhaa zao zikaonekane huko kuliko kusikilizwa hewani, VIEWERS ni wengi kuliko LISTERNERSAcha uongo na kupotosha watu eti TCRA Coverage si Chochote,.
Jiulize uko Online Wanasikiliza watu wangapi? Na je ni mda wote wanasikiliza? Na usikute hao uliowasikia wakipiga simu wanasikiliza kupitia vingamuzi kwa tune upande wa radio hiyo Coverage ya TCRA, acheni kujiaminisha Ujinga
Watu Mnaoshinda mitandaoni kuna ujinga Mwingi sana mmeshajiaminisha vichwani Mwenu,.Acha ubishi Online is everything, hata hayo Makampuni siku hizi yanapunguza gharama za kwa kupeleka matangazo kwenye vipindi vichache vya redio, Redio ambazo content zao zinaenda online wengi hupenda bidhaa zao zikaonekane huko kuliko kusikilizwa hewani, VIEWERS ni wengi kuliko LISTERNERS
Unajua kwamba watumiaji wa smartphone wapo wachache sana? % kubwa wanatumia Feature Phone ,Kwahiyo WCB wakitarget Online ujue wamefeli.kila mtumiaji wa Smartphone, Tablet, computer ana access na Internet
umensema mm haposuala la ushabiki limetoka wapi..?,
unajua kuwa Redio zote kubwa hapa nchini wasikilizaji ni wale wale wanacho tofautiana ni kugawana Airtime tu,
Asubuhi mtu anasikiliza Power breakfats (clouds), huyo huyo mchana anasikiliza Planet Bongo (EA Radio),
ulishawahi kufatilia live streaming ya XXL, AU WASAFI Block 89, au kuwe na Show inafanyika live, angalia idadi ya watu walioko online
WCB Wana survive Kwa online , yaan kama online ikizimika hata masaa matatu WCB wanakuwa more worse , dunia inaelekea online sa hv na WCB wamewah na watawin in future labda washindwe kwenye management , tayar washapiga bao upande wa Music industry so walishajua utamu wa online , .....issue za radio kimsing zinapungua nguvu Sana sa hv na tunakoenda usishangae zikawa dead and gone upande wa intertainment , kama hata sa hv matamko ya serikal yanatokea Twitter unategemea nn sasa ....et mtu unakaa unasubir uhabarishwe na kpind cha amplifaya wakat huo watu wamenyaka news 7hrs earlier, sa hv hata tuzo zinatolewa na mitandao si hatar hiyo, bado mtu unategemea Radio na tvUnajua kwamba watumiaji wa smartphone wapo wachache sana? % kubwa wanatumia Feature Phone ,Kwahiyo WCB wakitarget Online ujue wamefeli.
Lil JonLil inamaanisha Little kama kafanya kazi zaidi ya miaka 10 huyu siyo little tena ni kibabu.
Lil Bow Wow alipotimiza 18 akaacha kujiita Lil Bow Wow na kujiita Bow Wow sawasawa na Lil Romeo na Lil Sama a.k.a Mr Blue.