Achana na tetesi: Lil Ommy, go and get 'em, bro!

Nashauri kwa hatua aliyofikia Lil Ommy ni vizuri akaanzisha empire yake kama alivyofanya Sky Walker,Zamaradi na wengineo,naamini itafanya vizuri!
 
Wangapi wenye access na Internet?
 
Nashauri kwa hatua aliyofikia Lil Ommy ni vizuri akaanzisha empire yake kama alivyofanya Sky Walker,Zamaradi na wengineo,naamini itafanya vizuri!
ushauri mzuri pia
umesikika
 
Nashauri kwa hatua aliyofikia Lil Ommy ni vizuri akaanzisha empire yake kama alivyofanya Sky Walker,Zamaradi na wengineo,naamini itafanya vizuri!
itakuwa vizuri zaidi
 
Acha uongo na kupotosha watu eti TCRA Coverage si Chochote,.

Jiulize uko Online Wanasikiliza watu wangapi? Na je ni mda wote wanasikiliza? Na usikute hao uliowasikia wakipiga simu wanasikiliza kupitia vingamuzi kwa tune upande wa radio hiyo Coverage ya TCRA, acheni kujiaminisha Ujinga
 
kila mtumiaji wa Smartphone, Tablet, computer ana access na Internet
Siyo kila mwenye hivyo Vifaa anasikiliza radio online, Kusapoti kauli ya kua TCRA Coverage si chochote huo ni Uzwazwa na mihemko ya kishabiki
 
Siyo kila mwenye hivyo Vifaa anasikiliza radio online, Kusapoti kauli ya kua TCRA Coverage si chochote huo ni Uzwazwa na mihemko ya kishabiki
suala la ushabiki limetoka wapi..?,
unajua kuwa Redio zote kubwa hapa nchini wasikilizaji ni wale wale wanacho tofautiana ni kugawana Airtime tu,
Asubuhi mtu anasikiliza Power breakfats (clouds), huyo huyo mchana anasikiliza Planet Bongo (EA Radio),
ulishawahi kufatilia live streaming ya XXL, AU WASAFI Block 89, au kuwe na Show inafanyika live, angalia idadi ya watu walioko online
 
Acha ubishi Online is everything, hata hayo Makampuni siku hizi yanapunguza gharama za kwa kupeleka matangazo kwenye vipindi vichache vya redio, Redio ambazo content zao zinaenda online wengi hupenda bidhaa zao zikaonekane huko kuliko kusikilizwa hewani, VIEWERS ni wengi kuliko LISTERNERS
 
Watu Mnaoshinda mitandaoni kuna ujinga Mwingi sana mmeshajiaminisha vichwani Mwenu,.

kwa kusapoti kwako kauli ya Online ni kila kitu na TCRA Coverage si Chochote, Nshajua ni aina gani ya kijana nae bishana nae,. Ni tule tuvijana tunavyoshinda mitandaoni tunajiaminisha kua kila mwenye Smartphone yupo kama yeye..

Haka kakijana kanataka kuaminisha uma kua siku hizi makampuni hayapeleki matangazo yao redio na wanayapeleka Online, wakati % ya watumiaji wa hizo bidhaa % hawana smartphone na hata wenye nazo % si wapenzi wa Kustream..

una pigo zote na mawazo ya kislay kwin
 
Robidinyo,

Kanawe tongo tongo bado uko mbali sana na upeo wa macho yako,Acha dharau kubali kukosolewa/kurekebishwa utajua vingi

1.kafatilie Digital Marketing ni nini na imekuwa kiasi gani
2. Online content/Online enterpreneurship and why kila mtu anakimbilia kufungua You tube channel
3. Podcast ni nini
4. Waulize TCRA matumizi ya Internet kwa Tanzania yameongezeka kiasi gani na watumiaji ni asilimia ngapi

Kisha njoo tubishane kwa Hoja
 
mayowela, Ona ulivyo kazwazwa kwahiyo matumizi ya internet yakiongezeka ndo unajiaminisha kua watu wote wanasikiliza radio Online,.?

Hizo Youtube chanel mbona hazina hayo matangazo ya biashara unayosema kua siku hizi hayapelekwi radion yanapelekwa Online,.?

Ni Uzwazwa wa kiwango cha HD Kutaka kuwaaminisha watu kua siku hizi % kubwa ya watanzania wanasikiliza radio Online na Kusema TCRA Coverage si Chochote Hapo ndipo napoisimamia kauli yangu ya kukwambia una ujinga mwingi kichwani mwako
 
Robidinyo,


Hao wote VODACOM, TTCL, DSTV, M-BET, ASAS DCB, PEPSI na FYN by Falsafa hayo matangazo yao wamepeleka wapi..? toa Tope na Funza kwenye kichwa hiko
 
umensema mm hapo
morning power breakfast
mchana Xxl
jioni ndinga mpaka michezo ya east Africa radio
saa tatu hadi saa sita the cruise siku imeshaaaaa
 
Unajua kwamba watumiaji wa smartphone wapo wachache sana? % kubwa wanatumia Feature Phone ,Kwahiyo WCB wakitarget Online ujue wamefeli.
WCB Wana survive Kwa online , yaan kama online ikizimika hata masaa matatu WCB wanakuwa more worse , dunia inaelekea online sa hv na WCB wamewah na watawin in future labda washindwe kwenye management , tayar washapiga bao upande wa Music industry so walishajua utamu wa online , .....issue za radio kimsing zinapungua nguvu Sana sa hv na tunakoenda usishangae zikawa dead and gone upande wa intertainment , kama hata sa hv matamko ya serikal yanatokea Twitter unategemea nn sasa ....et mtu unakaa unasubir uhabarishwe na kpind cha amplifaya wakat huo watu wamenyaka news 7hrs earlier, sa hv hata tuzo zinatolewa na mitandao si hatar hiyo, bado mtu unategemea Radio na tv
 
Slowly,
Uko sahihi kabisa, Ndio maana hata hizi Radio nazo zinajiboresha kwa kutengeneza Studio nzuri amabazo zinaendana na matakwa ya Online, Pia focus iko kwenye marketing na Profit,
WASAFI Youtube channel ina takribani subscriber 1.15M, Ambapo content zinazowekwa zinafikisha mpaka views 360k per week, malipo yake ni mazuri ukiringanisha na wadhamini walioko kwenye baadji ya vipindi, lakini pia kutokana na views wanaoleta matangazo kwenye You Tube channel ni wengi tofauti na kwenye Radio station
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…