Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Huko aliko Mungu anamuonaUKOMO wa Jamal Malinzi bila hivyo asingekubali simba kuwa bingwa(prank)
Mkia haunaga akili mkuu,wakikaririshwa wanaimba tu kama kasuku,Yanga hata sasa ni Bora tatizo ni majeruhi na kuandoka kwa Manji.Kikosi cha Jana cha Mbeya huwezi sema hiyo ni Yanga.Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu.Rage Mungu anakuona ulivyowaita Mbumbumbu hawa watu...Msuva,Ngoma,Tambwe,Niyonzima ,Chirwa na Kamusoko(kwenye ubora wao)kweli Malinzi awabebe..Ubingwa unatafutwa kwa damu na jasho...Msuva anafunga goli na Mbeya city anapasuka juu ya jicho na anavyopenda picha..Muogopeni Mungu..Yanga isingekuwa na majeruhi hata msimu huu wangechukua
Mkia haunaga akili mkuu,wakikaririshwa wanaimba tu kama kasuku,Yanga hata sasa ni Bora tatizo ni majeruhi na kuandoka kwa Manji.Kikosi cha Jana cha Mbeya huwezi sema hiyo ni Yanga.Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu.
UKOMO wa Jamal Malinzi bila hivyo asingekubali simba kuwa bingwa(prank)
Simba nimeamini kweli ni mbumbu aisee, siri ya ubingwa wenu ni majeraha ya kikos cha Yanga na ukata ulioko hapo.... Yanga ikiwa vizr kifedha hata Rais wa Tff awe manara yanga wanachukua ubingwa
Endelea kuamini upupu uliokaririshwa,Bench kulikuwa na wachezaji wa ngapi? Majority ya waliocheza Jana wamecheza mechi ngapi? Kwa watanguliza mahaba bila fact hamuwezi kukubali.kikosi cha yanga iliyocheza jana ni nini? Kikosi cha jana kilichosema si yanga ni nini? tukunyema/chura au mitulinga FC?ujuha hauwezi kuisha nyie watu mbona hampendi kufikiri? team inasajili wachezaji zaidi ya 22 wote ni wachezaji wake.. ukifungwa umefungwa.. kwani MBAO wamekuwa wakiwafunga akiwepo nani na nani? ni sawa na simba ifungwe iseme kile kikosi si Simba kumbe ni nini? Mbao FC? najua nikitamka mbao roho inashtuka sana....
Endelea kuamini upupu uliokaririshwa,Bench kulikuwa na wachezaji wa ngapi? Majority ya waliocheza Jana wamecheza mechi ngapi? Kwa watanguliza mahaba bila fact hamuwezi kukubali.
Hawahitambui tatizo lao nini, ukiangalia wamefanya uwekezaji mkubwa wamefukuza makocha bado wame strugle against timu wanayo iita dhaifu. Kwa maneno yao wnataka kutuaminisha kwamba tff ndiyo imewapa ubingwa wakati juhudi na uwekezaji dhidi ya wapinzani Wao. Hata hivyo zipo timu zilizo wekeza kama Azam, Singida bado hazijafanikiwa sana na hapo ndipo ubora wa yanga unapo onekana.Mkia haunaga akili mkuu,wakikaririshwa wanaimba tu kama kasuku,Yanga hata sasa ni Bora tatizo ni majeruhi na kuandoka kwa Manji.Kikosi cha Jana cha Mbeya huwezi sema hiyo ni Yanga.Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu.
Nilikua nasikitishwa na upendeleo wa wazi wa Malinzi kwa Yanga dhidi ya Simba, lakini sikubaliani na roho za kumtakia mabaya ya kibinadamu....na sympathize na yeye kwa yanayomkuta na Mungu Amnusuru na hili na jingineMalinzi Mungu amuongezee mapigo zaidi Huko gerezani, hata ikiwezekanaaa arest in hell! Mnafiq Sana ameihujumu Sana Simba kipindi chake! Ikiwezekanaaa manyampala ya Simba yaliyopo huku gerezani yamsughulikie ipasavyo!
Kakojoe ulale.Mpira upi wa yanga.Magoli ya mikono ovyo tff ililuwa ya bukoba..Rage Mungu anakuona ulivyowaita Mbumbumbu hawa watu...Msuva,Ngoma,Tambwe,Niyonzima ,Chirwa na Kamusoko(kwenye ubora wao)kweli Malinzi awabebe..Ubingwa unatafutwa kwa damu na jasho...Msuva anafunga goli na Mbeya city anapasuka juu ya jicho na anavyopenda picha..Muogopeni Mungu..Yanga isingekuwa na majeruhi hata msimu huu wangechukua
Mapungufu ya mpinzani katika mchezo wowote ndiyo yanayotoa USHINDI ukiitumia nafasi vizuri...ndivyo ilivyofanya SIMBAUKOMO wa Jamal Malinzi bila hivyo asingekubali simba kuwa bingwa(prank)