Achana na Ubora wa kikosi, SIRI kubwa Simba UBINGWA

Malinzi Mungu amuongezee mapigo zaidi Huko gerezani, hata ikiwezekanaaa arest in hell! Mnafiq Sana ameihujumu Sana Simba kipindi chake! Ikiwezekanaaa manyampala ya Simba yaliyopo huku gerezani yamsughulikie ipasavyo!
 
Rage Mungu anakuona ulivyowaita Mbumbumbu hawa watu...Msuva,Ngoma,Tambwe,Niyonzima ,Chirwa na Kamusoko(kwenye ubora wao)kweli Malinzi awabebe..Ubingwa unatafutwa kwa damu na jasho...Msuva anafunga goli na Mbeya city anapasuka juu ya jicho na anavyopenda picha..Muogopeni Mungu..Yanga isingekuwa na majeruhi hata msimu huu wangechukua
 
Mkia haunaga akili mkuu,wakikaririshwa wanaimba tu kama kasuku,Yanga hata sasa ni Bora tatizo ni majeruhi na kuandoka kwa Manji.Kikosi cha Jana cha Mbeya huwezi sema hiyo ni Yanga.Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu.
 
kikosi cha yanga iliyocheza jana ni nini? Kikosi cha jana kilichosema si yanga ni nini? tukunyema/chura au mitulinga FC?ujuha hauwezi kuisha nyie watu mbona hampendi kufikiri? team inasajili wachezaji zaidi ya 22 wote ni wachezaji wake.. ukifungwa umefungwa.. kwani MBAO wamekuwa wakiwafunga akiwepo nani na nani? ni sawa na simba ifungwe iseme kile kikosi si Simba kumbe ni nini? Mbao FC? najua nikitamka mbao roho inashtuka sana....

Yan nyie mambumbumbu mna akili fupi sana. Eti Yanga alikua anabebwa. Makosa mfanye wenyewe muanze kutoa visingizio kwa wengine. Natoa hongera kwenu mmechukua ubingwa mmepambana kweli. Ila acheni kukariri maisha Yanga asingekua na hali aliyo nayo sa ivi nyie ubingwa mngeusikia kwenye bomba.

Pumbavuuuu
 
Hahahahahaha hahahahahah, maumivu yamefika sehemu husika
 
Simba nimeamini kweli ni mbumbu aisee, siri ya ubingwa wenu ni majeraha ya kikos cha Yanga na ukata ulioko hapo.... Yanga ikiwa vizr kifedha hata Rais wa Tff awe manara yanga wanachukua ubingwa

Licha ya Majeraha ya Tambwe na Ngoma, Simba ina kikosi bora kuliko Yanga. Majeraha na ukata vimeongeza tu ukali wa tatizo la Yanga, na kilichoficha udhaifu wa kikosi cha Yanga ni karata alizokuwa anazicheza vizuri kocha Lwandamina.

Na ubora wa Simba ulianza kuonekana tangu msimu ule wa 2016/2017. Katika msimu huo, Yanga ilibebwa zaidi na motivation ya kujiamini katika kumaliza ligi huku ratiba ya viporo vya Yanga na kucheza mechi 5 mfululizo za mwisho uwanja wa nyumbani kuliirahishia sana kazi huku Simba akicheza mechi 4 kati ya 5 za mwisho ugenini!!!
 
kikosi cha yanga iliyocheza jana ni nini? Kikosi cha jana kilichosema si yanga ni nini? tukunyema/chura au mitulinga FC?ujuha hauwezi kuisha nyie watu mbona hampendi kufikiri? team inasajili wachezaji zaidi ya 22 wote ni wachezaji wake.. ukifungwa umefungwa.. kwani MBAO wamekuwa wakiwafunga akiwepo nani na nani? ni sawa na simba ifungwe iseme kile kikosi si Simba kumbe ni nini? Mbao FC? najua nikitamka mbao roho inashtuka sana....
Endelea kuamini upupu uliokaririshwa,Bench kulikuwa na wachezaji wa ngapi? Majority ya waliocheza Jana wamecheza mechi ngapi? Kwa watanguliza mahaba bila fact hamuwezi kukubali.
 
YANGA IMEFUNGWA BAO MBILI KWA NUNGE NA TANZANIA PRISONS. KAMA AMBAVYO ILIFUNGWA 4 KWA NUNGE NA ALGERIS. lamba ndimu au limao uondoe kichefu chefu...

Endelea kuamini upupu uliokaririshwa,Bench kulikuwa na wachezaji wa ngapi? Majority ya waliocheza Jana wamecheza mechi ngapi? Kwa watanguliza mahaba bila fact hamuwezi kukubali.
 
Mkia haunaga akili mkuu,wakikaririshwa wanaimba tu kama kasuku,Yanga hata sasa ni Bora tatizo ni majeruhi na kuandoka kwa Manji.Kikosi cha Jana cha Mbeya huwezi sema hiyo ni Yanga.Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu.
Hawahitambui tatizo lao nini, ukiangalia wamefanya uwekezaji mkubwa wamefukuza makocha bado wame strugle against timu wanayo iita dhaifu. Kwa maneno yao wnataka kutuaminisha kwamba tff ndiyo imewapa ubingwa wakati juhudi na uwekezaji dhidi ya wapinzani Wao. Hata hivyo zipo timu zilizo wekeza kama Azam, Singida bado hazijafanikiwa sana na hapo ndipo ubora wa yanga unapo onekana.
 
Malinzi Mungu amuongezee mapigo zaidi Huko gerezani, hata ikiwezekanaaa arest in hell! Mnafiq Sana ameihujumu Sana Simba kipindi chake! Ikiwezekanaaa manyampala ya Simba yaliyopo huku gerezani yamsughulikie ipasavyo!
Nilikua nasikitishwa na upendeleo wa wazi wa Malinzi kwa Yanga dhidi ya Simba, lakini sikubaliani na roho za kumtakia mabaya ya kibinadamu....na sympathize na yeye kwa yanayomkuta na Mungu Amnusuru na hili na jingine
 
Rage Mungu anakuona ulivyowaita Mbumbumbu hawa watu...Msuva,Ngoma,Tambwe,Niyonzima ,Chirwa na Kamusoko(kwenye ubora wao)kweli Malinzi awabebe..Ubingwa unatafutwa kwa damu na jasho...Msuva anafunga goli na Mbeya city anapasuka juu ya jicho na anavyopenda picha..Muogopeni Mungu..Yanga isingekuwa na majeruhi hata msimu huu wangechukua
Kakojoe ulale.Mpira upi wa yanga.Magoli ya mikono ovyo tff ililuwa ya bukoba..
 
Back
Top Bottom