Acharazwa viboko 12 kwa kubaka mwanafunzi. Asema ibirisi wa mapenzi ndiye aliyemshawishi kufanya yote hayo

Adhabu ya kubaka mimi nilijua ni miaka 30 jela. Lini imebadilika na kuwa viboko 12? Ama hakimu naye anatoka huko huko Lindi na kwa hiyo ameona ni kitu cha kawaida kwa kadiri ya utamaduni wao?
Adhabu ya miaka 30 sio suluhisho ikizingatiwa aliye baka pia ni mtoto, muache roho mbaya huyo ni shetani wa mapenzi tu...
 
Jamaa alishakwepa msala wa kubaka kwa gharama ya viboko 12 Ila naona wenyewe habari wameamua kumpalia makaa.Lazima wamfuatilie upya.
 
MH. Hakimu popote ulipo maeneo yakujiliwaza jipatie Dompo 2...

bill mpe aliye jirani nawe, atalipa nami nitamrudishia
 
Hahaaa kosa LA ubakaji then hukumu ni viboko duhhhh !!!!!!
 
Hahaha aisee kweli huyo jamaa ana upepo wa jamuhuri
 
Hapo ni mtu na demu wake na wote ni wanafunzi, ndio maana hukumu yenyewe imekaa kishule shule (viboko)
 
Umesahau
1. Bila condom
2. Awe ameathirika
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wote ni wanafunzi dizain kama hawakubakana kuna makubaliano pia nadhani kuna uwiano wa umri na makubaliano ya familia la sivyo 30 ingemuhusu
 
Jiongeze wote classmates
 
Wanasheria wetu humu ,njooni mtoe ufafanuzi sisi malaymen haituingii akilini kutoka miaka 30 mpaka mikwaju 12 inakuaje kuaje hapa ?Kwa huyu bazazi.
Mtoto wa kike miaka 18 wa kiume 18 na ni maboyfriend na girl friend

Hakimu yupo sawa au wote waende 30 years

Haki sawa kwa wote
 
Magereza yanapunguza wafungwa, makosa mengine mnachapwa viboko tu πŸ˜† πŸ˜†
 
Jamaa anamiaka 18 Naalie bakwa ni mwanafunzi wa form 3.
Busara kubwa imetumika apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…