Kuna kitu nimewahi nunua ila sijakipata tena wala kujua nitapata wapi. Wengine wanaita ubuyu wa embe, wengine achari ila ni kama maembe yakatwe kidogodogo yakaushwe na kuwekwa viungo na rangi kama ubuyu. Napenda sana ila sijui jinsi ya kutengeneza, msaada tafadhali kwa aliyenielewa.