Achari/Ubuyu wa embe

Achari/Ubuyu wa embe

bestest

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
67
Reaction score
8
Kuna kitu nimewahi nunua ila sijakipata tena wala kujua nitapata wapi. Wengine wanaita ubuyu wa embe, wengine achari ila ni kama maembe yakatwe kidogodogo yakaushwe na kuwekwa viungo na rangi kama ubuyu. Napenda sana ila sijui jinsi ya kutengeneza, msaada tafadhali kwa aliyenielewa.
 
Kama upo Dar, Kkoo mitaa ya Azam Complex kuna duka la wapemba utapata.

Kipindi cha uja uzito wa mwanangu mkubwa nilifaidi.
 
Back
Top Bottom