Yaan wazee wa nyeupe kanikamata halaf anakuja huku anaongea na sim kabisa, eti usiweke tomato na asikauke, yaani kwahiyo anakamata gari huku ana uhakika wa hela yangu nayompa ndo aagizie msosi ama?
Nmecheka sana ingawa nmeumia sana.
Ila hawa jamaa wanakula maisha jamani, hiv kwanini sikuwa soja. Daah!
Sio soja mjeshi, hapana. Soja wa road.
Jamaa mmoja namfaham yuko kitengo kibaha ana hausi kama 4 hivi, kimasihara masihara tu
Ujue walioingia kitengo hiko wanakula maisha kuliko sisi ambao tuko huku kwingine
Aisee nimekubali
Uzi tayar