Acheni hizo bana

Acheni hizo bana

Tatizo wanaweza wakasababisha matatizo mfano mkeo akiziona tena na caption ya ajabu ajabu
selfie ndani ya gari mkeo atajuaje gari yako? Imagine vits/passo ziko ngapi mjini hapa!
 
selfie ndani ya gari mkeo atajuaje gari yako? Imagine vits/passo ziko ngapi mjini hapa!
Mkuu selfie zingine anatokaga hadi dereva... Kiutani utani unaweza kuikosa ndoa ivi ivi
 
Labda sio gari yako...... vits/passo utajuaje hii yangu kwa kuangalia selfie ndani ya gari au selfie wanapiga kwenye number plate?
Gari lako hata gizani utalijua tu mkuu, nguo alizopiga nazo ndo zile alizovaa wakati nasafiri nae na zaidi moja ya picha aliyopost ilionesha nyumba ya ndugu yangu nilipofikia na kumshusha ili nae aelekee kwa nduguye.
 
wadada wa mjini unampa lift... anakaa siti ya mbele
anafunga na mkanda dereva unajiuliza dah..huyu
dada anajua sheria za barabarani..kumbe anataka
kujipiga selfie akapost instagram tena utakuta
anajipiga selfie kama ishirini kwa pozi tofauti
tofauti...
anajifunga mkanda utadhani mna safari ya mkoani
 
Mods mumetype Heading kwenye thread yangu, mumeniharibiaaa... Nazaa na nyinyi leo sikubaliiii JamiiForums
 
Hivyo Ni Vitu Vya Kawaida Tu Kwa Watu Wanaojua Kutumia Fursa Vizuri. Maana Hata Huku Mtaani Kwetu Kuna Jamaa Anatembea Na Tiketi Ya Ndege Iliyotumika Miaka Sita Nyuma.
 
Ebungoja siku nikinunua mkoko nami nitakuja kuweka uzi hapa
 
Back
Top Bottom