Unagari au kickMimi cku hizi cwapi lifti maana nilikuta gari yangu insta mmpaka nikaishiwa pozi
Hapo sasammmh, ushindwe kununua gar ata selfie
EtiLabda sio gari yako...... vits/passo utajuaje hii yangu kwa kuangalia selfie ndani ya gari au selfie wanapiga kwenye number plate?
[emoji12]Mimi cku hizi cwapi lifti maana nilikuta gari yangu insta mmpaka nikaishiwa pozi
ahahaaa vituko kweli yaani
Pakavu wanateleza
Gari now days ni kama chupi unabadili2Unagari au kick