Dream Touch
Member
- Mar 26, 2023
- 35
- 62
Madeleka, warioba, Heche, Mwabukusi nk mnaochambua siasa za Tanzania huku mkionesha kuwa katika taifa la kidemokrasia serikali, vyombo vya Dola na bunge linapaswa,lilipaswa kufanya hiki au kile kwa Hali ilivyo sasa kwa maoni yangu mnakosea sana.
Kwa sababu ninyi ndio mnaotumika kuifahamisha Dunia kuwa Taifa lipo kidemokrasia kumbe sivyo.
Kaeni kimya Dunia itambue kuwa kwa sasa Tanzania ni Taifa la Mbeleee.... tembea.........., Nyumba....... geuka.
Mkikaa kimya mtatusaidia kuja kusaidiwaKwa sasa kelele zenu hazina tija tulieni kama Gwaji Boy