Dream Touch
Member
- Mar 26, 2023
- 35
- 62
Madeleka, warioba, Heche, Mwabukusi nk mnaochambua siasa za Tanzania huku mkionesha kuwa katika taifa la kidemokrasia serikali, vyombo vya Dola na bunge linapaswa,lilipaswa kufanya hiki au kile kwa Hali ilivyo sasa kwa maoni yangu mnakosea sana.
Kwa sababu ninyi ndio mnaotumika kuifahamisha Dunia kuwa Taifa lipo kidemokrasia kumbe sivyo.
Kaeni kimya Dunia itambue kuwa kwa sasa Tanzania ni Taifa la Mbeleee.... tembea.........., Nyumba....... geuka.
Mkikaa kimya mtatusaidia kuja kusaidiwaKwa sasa kelele zenu hazina tija tulieni kama Gwaji Boy
hata hivyo,Madeleka, warioba, Heche, Mwabukusi nk mnaochambua siasa za Tanzania huku mkionesha kuwa katika taifa la kidemokrasia serikali, vyombo vya Dola na bunge linapaswa,lilipaswa kufanya hiki au kile kwa Hali ilivyo sasa kwa maoni yangu mnakosea sana.
Kwa sababu ninyi ndio mnaotumika kuifahamisha Dunia kuwa Taifa lipo kidemokrasia kumbe sivyo.
Kaeni kimya Dunia itambue kuwa kwa sasa Tanzania ni Taifa la Mbeleee.... tembea.........., Nyumba....... geuka.
Mkikaa kimya mtatusaidia kuja kusaidiwaKwa sasa kelele zenu hazina tija tulieni kama Gwaji Boy
hata hivyo,
demokrasia haifai kua kisingizio cha watu kukiuka sharia za nchi na kutokutii katiba ya nchi, kuchochea chuki, uhasama na migawanyiko miongoni mwa wananchi.
demokrasia inafaa kuchochea uhuru wa kutoa mawazo mapya bora zaidi na mbadala dhidi ya yaliyoamuliwa na wengi yanayotekelezwa sasa.
upotoshaji na uropokaji unaoganywa na akina warioba na huyo wakili mlevi sijui anaitwa Maagereka na hao wavuta bangi akina heche na mabukusi sio sehemu ya demokrasia hata kidogo bali ni uharamia au ukibaka katikati siasa