Acheni kujamba ovyo ovyo

Acheni kujamba ovyo ovyo

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kuna msela wangu leo kafukuzwa kazi kisa kamjambia boss wake wa kazi.

Msela kachukulia poa tu ila kitu ambacho amekitowa hakika ni zaidi ya Yusufu.

Eti yeye katoa rwakatala, mbaya sana. Amefukuzwa kazi.
 
Duuuh! Kitu rwakatala!
 
🤣🤣🤣🤣huyo sio msela,anaelekea kwenye ushostito
 
Back
Top Bottom