Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh! Kitu rwakatala!Kuna msela wangu leo kafukuzwa kazi kisa kamjambia boss wake wa kazi.
Msela kachukulia poa tu ila kitu ambacho amekitowa hakika ni zaidi ya Yusufu.
Eti yeye katoa rwakatala, mbaya sana. Amefukuzwa kazi.