Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Great thinkers,
Tangu kufariki kwa Dkt Magufuli, na hatimaye Mh. Polepole kumaliza kipindi chake cha ukatibu mwenezi, yaani unaona kabisa Polepole alivyopwaya kama mwana siasa. Polepole ili aishi lazima awe mwanaharakati, yaani yeye akipiga maneno ndiyo kula yake hiyo, yaani hana tofauti na akina Ulimwengu.
Ushauri, mnaomfuatilia acheneni naye atawapoteza maana yeye siyo mwanasiasa bali ni mwanaharakati na kula yake inategemea sana kupiga domo.
Hata zile shule zake za uongozi hazina maantiki, huwezi kufundisha watu wakati huo huo unawajengea chuki kwa serikali unaowafundisha, badala ya kujikita kuelimisha unajikita kubeza serikali na viongozi wake.