Acheni kumfuatilia Polepole ni mwanaharakati siyo mwanasiasa

Hakuna kitu kinamsuta yule mtu kama kushiriki kwenye njama za kununua wabunge na madiwani kwa pesa za watz kisha kurudia uchaguzi bila sababu za msingi kabisa.leo yeye anaita wenzake WAHUNI.
 
Ushauri umekuja too late.
 
Wewe ni wa kupuuzwa muda wote, kwahiyo mwanaharakati hapaswi kusikilizwa regardless.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…