Acheni kutembea na wake za watu

Kuna video nilikutana nayo mahali mwanaume hana nguo anatandikwa sijui na mke wake haikua na full details. Nikasema mambo yamegeuka
 
Mtu yupo kwenye kiroba akasema " kaka nisaidie"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii chai nimeisoma kama ile hadithi ya awafu mwenye nguvu!
 
Mke anauma wewe....
Kabakwa??
Yaani kajificha wee,kaficha na simu/meseji,kadanganya anakokwenda,kafika katoa chupi,kainyonya,kaikatikia vizuri kabisaa afu mi nikachezee mavi ya mwanaume mwingine au kumpiga(MARA KAFARIKI!) sababu ya umalaya wa mtu nimekutana nae ukubwani hivi??Mungu anisaidie,upuuzi wa hivyo sina kwakweli
 
Alikuwa amefanya hicho ulichotaka kwenda kufanya.Nadhani uligeuza kurudi melini.
 
Mkuu usitutishe, sisi wengine tunapendwa na hao wake za watu na wala hatutongozi, sasa tufanyeje? Nina miaka kibao sitongozi mwanamke ila natongozwa tu na wake za watu, sasa unataka nifanyeje mkuu?
 
Mkuu usitutishe, sisi wengine tunapendwa na hao wake za watu na wala hatutongozi, sasa tufanyeje? Nina miaka kibao sitongozi mwanamke ila natongozwa tu na wake za watu, sasa unataka nifanyeje mkuu?
tembea na kilainishi hamna namna
 
Njoo haya maeneo alafu useme kahawa wiki ilipita nilimsafirisha jamaa mmoja yani anahama kabisa yeye pia kafumaniwa alafu kaliwa na mafuta ya kassa jamaa kwa aibu akahama sababu kila watu wakimuona yeye wanajifanya kumuuliza mafuta yanauzwa wapi.
Nioko zako sana wewe hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…