Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Si kilainishi tu, kila siku nikitoka nyumbani natoka na spea taulo, chupi, kondom, mswaki, kilainishi, na bastola just in case nitavamiwa na mume wa mtu na wapambe wake.tembea na kilainishi hamna namna